NEC yafafanua Upotoshaji kuhusu Karatasi za kupiga kura Uchaguzi Mkuu 2020

Nimesikiliza vizuri sana Mkuu. Hizo tarehe nilizozitaja nimezipata baada ya kusikiliza.

Amandla....
Mkuu ufafanuzi umetolewa kuhusu Tenda na ilivyofanywa na mshindi alikuwa nani kutokana na utaratibu. Then baada ya hapo mwaka huu na hizo tarehe vyama vyote walialikwa kwenye mkutano ambao Chadema hawakutokea. Huo mkutano ni wa kawaida kabla ya uchaguzi na kanuni zilizowekwa sasa hapo bado hujaelewa nini? Labda ufafanue.

Hoja iliyo mezani ..... ..... Mnyika (CDM) kulalamika kwamba kampuni ya Jamana Printers walipewa tenda kinyemela ili CCM waweze kuiba kura na Chadema wanajiandaa kutumia special pens kwa wanachama wao siku ya uchaguzi. hizo ni mbinu za CCM na Tume ili kuwadhulumu kura.

Fundi Mchundo said:
Ili kulimaliza suala hili, Mkurugenzi alitakiwa kuweka wazi kuwa aliyeshinda tenda ndio waliyeingia nae mkataba na ndie anayechapisha hayo makaratasi. Alitakiwa kusema wazi kuwa Jamana hahusiki katika uchapishaji wa hayo makaratasi.
 
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dk. Willson Mahera Charles ametoa ufafanuzi juu ya upotoshwaji uliofanywa na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, John Mnyika kuhusiana na mchakato wa Manunuzi wa Karatasi za kupigia kura katika Uchaguzi Mkuu wa 2020.

CCM inaondoka mwaka huu Mkuu, atakayejaribu kuzuia ataondoka nayo. Iko hivyo.
 
Mkuu ufafanuzi umetolewa kuhusu Tenda na ilivyofanywa na mshindi alikuwa nani kutokana na utaratibu. Then baada ya hapo mwaka huu na hizo tarehe vyama vyote walialikwa kwenye mkutano ambao Chadema hawakutokea. Huo mkutano ni wa kawaida kabla ya uchaguzi na kanuni zilizowekwa sasa hapo bado hujaelewa nini? Labda ufafanue.

Hoja iliyo mezani ..... ..... Mnyika (CDM) kulalamika kwamba kampuni ya Jamana Printers walipewa tenda kinyemela ili CCM waweze kuiba kura na Chadema wanajiandaa kutumia special pens kwa wanachama wao siku ya uchaguzi. hizo ni mbinu za CCM na Tume ili kuwadhulumu kura.

Fundi Mchundo said:
Ili kulimaliza suala hili, Mkurugenzi alitakiwa kuweka wazi kuwa aliyeshinda tenda ndio waliyeingia nae mkataba na ndie anayechapisha hayo makaratasi. Alitakiwa kusema wazi kuwa Jamana hahusiki katika uchapishaji wa hayo makaratasi.
 
Unakiri kuna mapungufu makubwa kwenye usimamizi wa sheria, huku ukisema hata mimi nazifahamu, ila unashangaa mimi kupokea taarifa na kuitolea mchango hasi! Kwanini usione mchango wangu hasi umeongozwa na mwenendo wa hayo mapungufu makubwa ya usimamizi wa sheria?

Nashukuru kwa kuniletea document kubwa ya gas masteplan, ila nilisoma ya wakati ule tunaimbishwa kuhusu uchumi wa gas, chini ya waziri aliyekuwa na majivuno mtaalamu wa miamba Prof Muhongo. Je hii ya sasa itakuwa ya kweli kuliko ile? Au hii ya sasa inaendana na matamanio ya utawala huu, ila ukija utawala mwingine mtaleta ya kuelezea ubora wa umeme wa uranium au makaa ya mawe, huku mkisema tatizo la umeme wa maji ni mabadiliko ya tabia, na utawala huu ulikuwa wa wapigaji?
Naamini unajua changamoto zilizokuwa zinakwamisha ujenzi wa kufua umeme Bwawa la Nyerere. Mataifa yenye uwezo wa kugharamia ujenzi huo, na sababu nyingine za kimaslahi, walihakikisha mradi hautekelezwi hivyo kuahidi kufadhiri utekelezaji wa mradi wa gesi kuzalisha umeme (Kinyerezi).

Uthubutu wa Rais Magufuli umefanikisha kuanza ujenzi wa hilo bwawa. Kwa sababu hiyo mradi wa kufua umeme kwa gesi unabaki historia na badala yake matumizi sahihi ya gesi yamechambuliwa kwenye hiyo ripoti.

KUPANGA NI KUCHAGUA
 
Mkuu, nadhani wewe ndio haujaelewa. Kutangazwa kuwa umeshinda tenda sio sawasawa na kupewa tenda. Na sio kwamba Chadema walikataa kwenda kwenye mkutano. Alichosema Mkurugenzi ni kuwa hawakuteua mjumbe wa kamati ya manunuzi ya kitaifa baada ya kuombwa kufanya hivyo tarehe 30 Juni mwaka huu. Hii inamaanisha wakati tenda zinatangazwa hiyo Kamati haikuweko.
Mkuu ufafanuzi umetolewa kuhusu Tenda na ilivyofanywa na mshindi alikuwa nani kutokana na utaratibu. Then baada ya hapo mwaka huu na hizo tarehe vyama vyote walialikwa kwenye mkutano ambao Chadema hawakutokea. Huo mkutano ni wa kawaida kabla ya uchaguzi na kanuni zilizowekwa sasa hapo bado hujaelewa nini? Labda ufafanue.

Hoja iliyo mezani ..... ..... Mnyika (CDM) kulalamika kwamba kampuni ya Jamana Printers walipewa tenda kinyemela ili CCM waweze kuiba kura na Chadema wanajiandaa kutumia special pens kwa wanachama wao siku ya uchaguzi. hizo ni mbinu za CCM na Tume ili kuwadhulumu kura.

Fundi Mchundo said:
Ili kulimaliza suala hili, Mkurugenzi alitakiwa kuweka wazi kuwa aliyeshinda tenda ndio waliyeingia nae mkataba na ndie anayechapisha hayo makaratasi. Alitakiwa kusema wazi kuwa Jamana hahusiki katika uchapishaji wa hayo makaratasi.

Mkuu ufafanuzi umetolewa kuhusu Tenda na ilivyofanywa na mshindi alikuwa nani kutokana na utaratibu. Then baada ya hapo mwaka huu na hizo tarehe vyama vyote walialikwa kwenye mkutano ambao Chadema hawakutokea. Huo mkutano ni wa kawaida kabla ya uchaguzi na kanuni zilizowekwa sasa hapo bado hujaelewa nini? Labda ufafanue.

Hoja iliyo mezani ..... ..... Mnyika (CDM) kulalamika kwamba kampuni ya Jamana Printers walipewa tenda kinyemela ili CCM waweze kuiba kura na Chadema wanajiandaa kutumia special pens kwa wanachama wao siku ya uchaguzi. hizo ni mbinu za CCM na Tume ili kuwadhulumu kura.

Fundi Mchundo said:
Ili kulimaliza suala hili, Mkurugenzi alitakiwa kuweka wazi kuwa aliyeshinda tenda ndio waliyeingia nae mkataba na ndie anayechapisha hayo makaratasi. Alitakiwa kusema wazi kuwa Jamana hahusiki katika uchapishaji wa hayo makaratasi.
Kuna tofauti kati ya kutangazwa mshindi wa tenda na kupewa tenda. Tenda anaweza kushinda mwingine na akapewa mwingine. Ndio maana Mkurugenzi alitakiwa kuweka wazi kuwa aliyeshinda tenda ndio waliyoingia nae mkataba na ndie anayechapisha vikaratasi.
Mkurugenzi hakusema Chadema walikataa kuhudhuria mkutano wowote. Alichosema ni kuwa Chadema hawakuteua mjumbe wao wa kwenye Kamati ya Manunuzi ya Kitaifa. Walitakiwa kufanya hivyo kupitia barua waliyoandikiwa tarehe 30 Juni 2020, zaidi ya miezi miwili baada ya mchakato wa tenda. Ameendelea kusema kuwa kamati hiyo ilifanya kikao chake cha kwanza tarehe 8 mwezi huu( siku nne zilizopita) lakini hapo hapo anasema kuwa kamati imekuwa ikifanya kazi kwa muda mrefu. Sidhani kuwa siku nne unaweza kuita muda mrefu. Inawezekana kabisa kuwa amechanganya tarehe na mwezi na kuwa Kamati ilianza kufanya kazi mara baada ya barua ya mwaliko wa kuteua wajumbe ilipotumwa. Au Kamati ilifanya kazi bila kwanza kukutana. Yote yanawezekana. Kinachohitajika ni kutoa clarification ili mjadala ufungwe. Ushauri wangu ni kuwa ni muhimu sana kwa Mkurugenzi kuonekana kuwa yeye ni honest na impartial broker. Anatakiwa ajibu hoja zote kwa umakini bila kuingiza vijembe dhidi ya chama chochote.

Amandla....
 
Mkuu, nadhani wewe ndio haujaelewa. Kutangazwa kuwa umeshinda tenda sio sawasawa na kupewa tenda. Na sio kwamba Chadema walikataa kwenda kwenye mkutano. Alichosema Mkurugenzi ni kuwa hawakuteua mjumbe wa kamati ya manunuzi ya kitaifa baada ya kuombwa kufanya hivyo tarehe 30 Juni mwaka huu. Hii inamaanisha wakati tenda zinatangazwa hiyo Kamati haikuweko.

Kuna tofauti kati ya kutangazwa mshindi wa tenda na kupewa tenda. Tenda anaweza kushinda mwingine na akapewa mwingine. Ndio maana Mkurugenzi alitakiwa kuweka wazi kuwa aliyeshinda tenda ndio waliyoingia nae mkataba na ndie anayechapisha vikaratasi.
Mkurugenzi hakusema Chadema walikataa kuhudhuria mkutano wowote. Alichosema ni kuwa Chadema hawakuteua mjumbe wao wa kwenye Kamati ya Manunuzi ya Kitaifa. Walitakiwa kufanya hivyo kupitia barua waliyoandikiwa tarehe 30 Juni 2020, zaidi ya miezi miwili baada ya mchakato wa tenda. Ameendelea kusema kuwa kamati hiyo ilifanya kikao chake cha kwanza tarehe 8 mwezi huu( siku nne zilizopita) lakini hapo hapo anasema kuwa kamati imekuwa ikifanya kazi kwa muda mrefu. Sidhani kuwa siku nne unaweza kuita muda mrefu. Inawezekana kabisa kuwa amechanganya tarehe na mwezi na kuwa Kamati ilianza kufanya kazi mara baada ya barua ya mwaliko wa kuteua wajumbe ilipotumwa. Au Kamati ilifanya kazi bila kwanza kukutana. Yote yanawezekana. Kinachohitajika ni kutoa clarification ili mjadala ufungwe. Ushauri wangu ni kuwa ni muhimu sana kwa Mkurugenzi kuonekana kuwa yeye ni honest na impartial broker. Anatakiwa ajibu hoja zote kwa umakini bila kuingiza vijembe dhidi ya chama chochote.

Amandla....
Mkuu there is no more help I can give you. If you cannot process the data its better to ask Mnyika or any member of your party for help.
 
Yamelaaniwa ndiyo maana ni muhimu kuyaangamiza kabisa yapotee haya mazandiki mahuni na vibaraka wa wazungu, tena tunawasubiri baada ya uchaguzi washenzi wahuni hawa wanatuharibia nchi yetu
Sio Nchi ya baba yako na mama yako pekee hii. Mpuuzi kweli wewe. Yaani ukitofautiana kiitikadi na mwenzako tu basi kageuka kuwa sio raia ila wewe ndio mwenye Nchi. Hovyo kweli kweli.
 
Mkuu there is no more help I can give you. If you cannot process the data its better to ask Mnyika or any member of your party for help.
Hapo ndipo mnapokosea. Mtu yeyote akihoji kitu mnamvisha ushabiki au uanachama wa chama fulani. Kuna wakati tulikuwa tunaweza kujadili mada humu ndani bila ushabiki wa chama. Najua ni vigumu kwako kuona lakini ninachokifanya ni kujaribu kuonyesha mapungufu ya majibu ya Mkurugenzi ili kama inawezekana ayaongezee ili hili jambo limalizike na watu waendelee na shughuli za uchaguzi. Aidha, kama inaonekana kuwa sijumuelewa tu kwa sababu ya udogo wa kichwa changu nayo ni heri maana hilo nalo kuthibitisha ni rahisi.

Amandla...
 
Naamini unajua changamoto zilizokuwa zinakwamisha ujenzi wa kufua umeme Bwawa la Nyerere. Mataifa yenye uwezo wa kugharamia ujenzi huo, na sababu nyingine za kimaslahi, walihakikisha mradi hautekelezwi hivyo kuahidi kufadhiri utekelezaji wa mradi wa gesi kuzalisha umeme (Kinyerezi).

Uthubutu wa Rais Magufuli umefanikisha kuanza ujenzi wa hilo bwawa. Kwa sababu hiyo mradi wa kufua umeme kwa gesi unabaki historia na badala yake matumizi sahihi ya gesi yamechambuliwa kwenye hiyo ripoti.

KUPANGA NI KUCHAGUA

Nitapitia hiyo document kuona kilichopo kwa ufasaha. Maana uzoefu wa nchi ni kuwa na mipango mizuri, lakini utekelezaji wake hutegemea utashi wa mtu na sio lazima uendane na utafiti wa kitaalamu.

Hata hivyo hoja za cdm haikuwa kwenye kampuni ya kuprint karatasi za kura tu, bali ilikuwa ni pamoja na kupewa daftari la mpiga kura, huku Mnyika akidai wamepewa orodha tu isiyotosha kujiridhisha na ukweli wa taarifa zilizopo. Ifahamike tume wanasema idadi ya wapiga ni 29m+ kitu ambacho hakiingii akilini, hasa ukizingatia idadi yetu watanzania ambao ni 59m+. Au hiyo ya kuprint karatasi pekee ndio wana majibu yake? Kuna uwezekano kabisa kuna karatasi zitakazopintiwa na hao Jamana zikajaziwa kwenye hiyo idadi ya kupika, ili kupata matokeo yanayoendana na matamanio ya ccm.
 
Huwezi kuelewa mipango ya wenye akili mwaka huu. Tunajua Kuna karatasi za kura za ziada zinachapishwa. Sasa NEC wajiandae tu yajayo yatafurahisha zaidi!!
Na kweli mwaka huu kuna kila dalili kwamba akili ya ziada inatumika.Sio bure,iweje kila mpango haramu unabuma?.Kwenye kampeni mara watu wapigane mitama.Unaharibu pitch ya uwanja masaa machache mbele Mkude anakula red kisha tunafungwa na Burundi goli lenye kichefuchefu kabisa,yaani tabu tupu!.Oyaa nyie wenye hizo "akili" popote mlipo mnipunguzie kidogo japo nami nijidai mtaani hapa.Maana kusema kweli mnatisha hadi najiuliza hizi akili zinapatikana hapa hapa MotherLand?.Hahahahaaaaaaa

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Yamelaaniwa ndiyo maana ni muhimu kuyaangamiza kabisa yapotee haya mazandiki mahuni na vibaraka wa wazungu, tena tunawasubiri baada ya uchaguzi washenzi wahuni hawa wanatuharibia nchi yetu
Kws kweli nakuunga mkono kabisa Mahera na huyo Muhutu wake lazima tuwaangamize baada ya uchaguzi huu. Hawawezi kutuharibia nchi namna hii shauri ya kada!
 
Pengine huko Afrika ya Kusini zime chapishwa halisi hapo jamana zimechapishwa haramu !
Ni mjinga tu anaweza amini ccm wanaweza shinda bila kuiba
 
Yani myika kaukiza kitu simple tu...wataje kampuni inayoprint. Sasa ilo jibu limejibiwa na kitabu kizima. Ukiona ivyo, jua kuna usanii. Mara nyingi muongo hutumia maneno mengi ili kuprove sio muongo.
 
Kwa akili yako fupi huwezi kuelewa!! Kama Tume ilianza mchakato mwezi wa pili kutangaza tenda Kwa nini ilianza kuwaita wawakilishi wa vyama mwezi wa 6?? Kwa nini unaita watu baada ya kuanza mchakato???

Mwaka huu Tume watajifunga kwa maneno yao wenyewe!!
Maswali ya kipimbavu kweli haya
 
Mpaka sasa kampuni ya Jamana haijakanusha, Polepole uko wapi uikanushie Jamana!
 
Mm nadhani Uchaguzi ili uwe na haki lazima tuache Maigizo...Tume hata mkiisema sana sana mnategemea ifanyeje kama tume inateuliwa na mmoja wa Wagombea??

Hivyo cha msingi ni kuwa na Taasisi Zilizoko huru.
 
Back
Top Bottom