ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Ujue kusema tu tuliibiwa haitoshi,ukweli ni kwamba watu wengi waliichagua ccm isipokuwa huko kwenye ujumlishaji kura ndiko walifanya makeke ili mkuu wa malaika apite kwa kishindo angeweza kupita kwa margin ya kawaida tu,sasa kwa nini chadema ihangaike kuwasemea watu ambao hawataki kusemewa? Ni kuacha tu hizo mambo kila mtu apambane na hali yake mpaka tukipigika vya kutosha ndio akili zitakuja