Uchaguzi 2020 NEC yakiri haijapokea majina ya CHADEMA Viti Maalum. Hongera CHADEMA kwa msimamo

Ujue kusema tu tuliibiwa haitoshi,ukweli ni kwamba watu wengi waliichagua ccm isipokuwa huko kwenye ujumlishaji kura ndiko walifanya makeke ili mkuu wa malaika apite kwa kishindo angeweza kupita kwa margin ya kawaida tu,sasa kwa nini chadema ihangaike kuwasemea watu ambao hawataki kusemewa? Ni kuacha tu hizo mambo kila mtu apambane na hali yake mpaka tukipigika vya kutosha ndio akili zitakuja
 
Kabisa. Ndio maana tunashangaa hivi vitisho vya kuwafukuza Bungeni watu ambao hata hawajateuliwa.

Amandla...
 
Ungejitahidi angalau umalize darasa la saba labda ungekua na mawazo sahihi juu ya baadhi ya mambo muhimu.
 
Kama kweli watanzania wangeamua kuchagua CCM haya mauaji a na kufungiana mitandao yametoka wapi?
 
Kwanini Mnyika kamwambia 'wakikamilisha mchakato' atayapeleka mwenyewe badala ya kumwambia sie hatuleti?
 
Mbowe hapo lazima atumie fursa itayo jitokeza. Mzee wa fursa.
 
Mkuuu hivi ni kweli unaendaga kanisani au.msikitini na ile ya kutosema uongo unaielewa.kabisa?hivi ni kweli.kulikua na demkrasia.
 
Kwanini Mnyika kamwambia 'wakikamilisha mchakato' atayapeleka mwenyewe badala ya kumwambia sie hatuleti?
Ili asitokee mwingine kupeleka akajifanya katumwa na Mnyika CCM wajanja sana walifoji majina ya CUF na NEC ikayabariki.
 
Kwa hiyo kusema CHADEMA hawatopeleka kabisa majina ni taarifa ya kuchongwa?
Ili asitokee mwingine kupeleka akajifanya katumwa na Mnyika CCM wajanja sana walifoji majina ya CUF na NEC ikayabariki.
 
Kwa hiyo kusema Chadema hawatopeleka kabisa majina ni taarifa ya kuchongwa?
Ndio maana ya Mnyika kusisitiza kama ni kuleta nitayaleta mwenyewe, lkn kwani mnataka yapelekwe ili iweje.
 
Unajibuje utapeleka wakati hutambui matokeo yaliyopelekea mpewe nafasi hizo?
Ndio maana ya Mnyika kusisitiza kama ni kuleta nitayaleta mwenyewe, lkn kwani mnataka yapelekwe ili iweje.
 
Duuuu! Yaani wewe ni tahira bwashee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…