Uchaguzi 2020 NEC yaongeza muda wa kuwaapisha mawakala wa vyama vya siasa kwenye uchaguzi mkuu hadi tarehe 23 Octoba 2020

Wameogopa Kazi ya CHADEMA ni noma. CHADEMA ni tasisi kubwa. Mabadiliko haramu yaliyofanywa na NEC ndani ya masaaa mawili kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa Nne Katibu Mkuu JJM alikuwa kashanasa taarifa zote nchi nzima in a very detailed manner.

Timing aliyofanya ku present kwenye press ilikuwa ni ya kiintelijensia zaidi na imeleta Matunda. Je kesho watagoma tena??
 
Katika uchaguzi huu NEC inajitahidi ili chadema wakose visingizio baada ya kushindwa katika sanduku la kura.
Kila hatua ya uchaguzi tangu mwanzo NEC inajitahidi kuisaidia CCM lakini inaangukia Pua.
 
Wameongeza muda wa kuapisha hahah
Waliotangulia mbele ya haki huko Rukwa Heshima Kwenu
Mpumzike kwa Amani
Mmetuacha kwenye mpambano mkali
Tutawaenzi !
Wamkufa ktk mapambano.

NEC wameangukia pua tena. Chadema ni taasisi lubwa ndani ya muda mfupi walikuwa na detailed infoa za nchi nzima.
 
Tamko la Mnyika limemsukuma, kwa nini wanapenda kusukumwa sukumwa?
Wameangukia pua tena. Kila wamapojaribu kuisaidia ccm mambo yanakwenda Kombo.

Huyu Mahera ni failure. Hakuna stage hata moja amefanikiwa
 
Afadhali, kidumu changu cha Petroli nawagaiya Bodaboda
Hehee wamefeli tena. Wameangukia pua. Nec kila wnapojaribu kuisaidia ccm wanazidi kufeli.

Watafute mbinu nyiinge hii ya leo imefeli na sasa tumepata nguvu na NEC imeambulia aibu kwa kushiriki huu upumbavu.
 
Maeneo rafiki na yasiyo na usumbufu wowote ni katika kata zao,
Full stop .
Zaidi ya kuapishwa ndani ya kata zao ni wazi kuwa hiyo ni hujuma na inatakiwa kujibiwa kulingana na uzito wa kuhujumu haki ya raia kuchagua viongozi wao.
 
Mtu mweusi tatizo sana usumbufu wanajitafutia wenyewe. kwanini husitende haki ili kuondokana na huo usumbufu?
Ona anavyoamabulia aibu. Hata hawezi kutazama mtu usoni.😅😅😅
 
Maeneo rafiki na yasiyo na usumbufu wowote ni katika kata zao,
Full stop .
Zaidi ya kuapishwa ndani ya kata zao ni wazi kuwa hiyo ni hujuma na inatakiwa kujibiwa kulingana na uzito wa kuhujumu haki ya raia kuchagua viongozi wao.

Sala za Mwamakula na Dua za Ponda hizo mpaka wanaona giza
Mwamakula Ni Mtumishi wa Mungu kweli kweli.

Mungu awabariki sana na Issa Ponda.
 
Sheria ni maandiko yanayoishi, be careful.
Siasa zikikushinda unakaa kando, usitupotezee muda unajificha ficha kwenye sketi za polisi.

Wananchi wanahitaji kuishi kwenye Tanzania huru. Wanahitaji maendeleo na uchumi wa kweli.

Rule of law and the constitution that abhors impunity and abuse of power.

The constitution that vests power onto the people and free them from tyranny.

Nikukumbushe tu kwamba Tanzania sio koloni la ccm au koloni la magufuli na genge lake.

Ati tutatumia polisi! THUBUTUU!

Watanzania sio watumwa wala mateka. Acha kuota huo ujinga. Utafeli.
 

Sky Eclat
hebu toa ufafanuzi please

kwa mfano hapo ambao wanapika ugali kumsubiri Mkurugenzi aliyefanya kafigisu ka kubadili muda a hadi 11 jioni, wapo pia mawakala wa CCM wanapika ugali?
 
Piga kura rudi nyumbani kama sheria zinavyosema,tii bila shuruti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…