General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Naomba usikimbie jukwaa ! Lissu kamwe hawi Rais wa nchi hii kamwe kamwe
Siku Moja kabla ya Uchaguzi, naomba uje ufanye editing ya ulicho andika hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba usikimbie jukwaa ! Lissu kamwe hawi Rais wa nchi hii kamwe kamwe
Kila hatua ya uchaguzi tangu mwanzo NEC inajitahidi kuisaidia CCM lakini inaangukia Pua.Katika uchaguzi huu NEC inajitahidi ili chadema wakose visingizio baada ya kushindwa katika sanduku la kura.
NEC wameangukia pua tenaNa wapewe Barua za kiapo na NEC ihakikishe barua za utambulisho wa mawakala chama au wakala anapewa nakala
Wamkufa ktk mapambano.Wameongeza muda wa kuapisha hahah
Waliotangulia mbele ya haki huko Rukwa Heshima Kwenu
Mpumzike kwa Amani
Mmetuacha kwenye mpambano mkali
Tutawaenzi !
Wameangukia pua tena. Kila wamapojaribu kuisaidia ccm mambo yanakwenda Kombo.Tamko la Mnyika limemsukuma, kwa nini wanapenda kusukumwa sukumwa?
Hehee wamefeli tena. Wameangukia pua. Nec kila wnapojaribu kuisaidia ccm wanazidi kufeli.Afadhali, kidumu changu cha Petroli nawagaiya Bodaboda
Maeneo rafiki na yasiyo na usumbufu wowote ni katika kata zao,Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC, imongeza siku zoezi la kuwaapisha mawakala kutoka Oktoba 21 hadi 23 mwaka huu kutokana na changamoto ya idadi ya mawakala kuwa kubwa tofauti hali iliyo
Akitoa uamuzi huo wa NEC Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Dokta Wilson Mahela amesema anatumai zoezi la kuwaapisha mawakala watakaowakilisha vyama vyao katika uchaguzi mkuu litafanyika kwa utaratibu mzuri kwa kutenga maeneo ambayo yatakuwa rafiki pasipo usumbufu wowote.
Ona anavyoamabulia aibu. Hata hawezi kutazama mtu usoni.😅😅😅Mtu mweusi tatizo sana usumbufu wanajitafutia wenyewe. kwanini husitende haki ili kuondokana na huo usumbufu?
Sala za Mwamakula na Dua za Ponda hizo mpaka wanaona gizaHehee wamefeli tena. Wameangukia pua. Nec kila wnapojaribu kuisaidia ccm wanazidi kufeli.
Watafute mbinu nyiinge hii ya leo imefeli na sasa tumepata nguvu na NEC imeambulia aibu kwa kushiriki huu upumbavu.
Maeneo rafiki na yasiyo na usumbufu wowote ni katika kata zao,
Full stop .
Zaidi ya kuapishwa ndani ya kata zao ni wazi kuwa hiyo ni hujuma na inatakiwa kujibiwa kulingana na uzito wa kuhujumu haki ya raia kuchagua viongozi wao.
Mwamakula Ni Mtumishi wa Mungu kweli kweli.Sala za Mwamakula na Dua za Ponda hizo mpaka wanaona giza
Imewatoka puaniWalikuwa wanapima upepo!!
Siasa zikikushinda unakaa kando, usitupotezee muda unajificha ficha kwenye sketi za polisi.Sheria ni maandiko yanayoishi, be careful.
#Updates: Kilombero mkurugenzi alisema atawaapisha mawakala saa 6 mchana, sasa hv tena wamebadilisha wamesema mpaka saa 11 jioni...
wananchi wamesema isiwe tabu wamechanga pesa wameenda kununua mchele na mboga wameamua kupika chakula kabisa huku wakisubiri mawakala waapishwe ndio waondoke.
WAKIWEKA UGOKO SISI TUNAWEKA JIWE.😅
View attachment 1607375
Piga kura rudi nyumbani kama sheria zinavyosema,tii bila shuruti.Weweeeeeee... Hiiiiiiiiiiiii ngoja nicheke kisukuma.
Hao migambo wako dhaifu tunawalipa sisi wananchi.
Hii nchi sio ya magufuli wala genge la ccm.
Tunalo jeshi la wananchi, sio jeshi la ccm wala jeshi la magufuli. Msijaribu kutumia jeshi kuwaua wananchi. KAMWE MSIJARIBU WALA KUWA NA HIYO NDOTO.
Kama siasa zimewashinda kaeni kando. Jeshi halipo kwa ajili ya kulinda genge la watu waliokosa ridhaa ya wananchi.
Siasa zimekushinda kaa kando uache kujificha ficha kwenye sketi za polisi.
Thubutuu!!Piga kura rudi nyumbani kama sheria zinavyosema