Uchaguzi 2020 NEC yaongeza muda wa kuwaapisha mawakala wa vyama vya siasa kwenye uchaguzi mkuu hadi tarehe 23 Octoba 2020

Uchaguzi 2020 NEC yaongeza muda wa kuwaapisha mawakala wa vyama vya siasa kwenye uchaguzi mkuu hadi tarehe 23 Octoba 2020

Sasa wewe unataka tuibiwe kura halafu tuseme "Hewala si Utumwa''
Waghwise,nakushauri ukipiga kura nenda nyumbani kunywa Balimi ulale. Mbowe hana msaaada ukipata matatizo.
2055357_IMG_20190509_080024_528.jpg
 
Wameongeza muda wa kuapisha hahah
Waliotangulia mbele ya haki huko Rukwa Heshima Kwenu
Mpumzike kwa Amani
Mmetuacha kwenye mpambano mkali
Tutawaenzi !
Huku ni kuendesha uchaguazi kizamani sana. Tanzania tuna matatizo gani? Walipokuwa wanapanga hawajuwa wako wengi? Bila kukinukisha hii nchi hawa watawala uchwara watakuwa wanajiona wana uwezo wa kutuchezea wanavyotaka. Magufuli anaongoza nchi kwa kutumia style za wakati wa Mobutu.
 
Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC, imongeza siku zoezi la kuwaapisha mawakala kutoka Oktoba 21 hadi 23 mwaka huu kutokana na changamoto ya idadi ya mawakala kuwa kubwa tofauti hali iliyo

Akitoa uamuzi huo wa NEC Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Dokta Wilson Mahela amesema anatumai zoezi la kuwaapisha mawakala watakaowakilisha vyama vyao katika uchaguzi mkuu litafanyika kwa utaratibu mzuri kwa kutenga maeneo ambayo yatakuwa rafiki pasipo usumbufu wowote.
NARUDIA TENA KUSEMA , NINA IMANI KUBWA NA TUME YA UCHAGUZI KWAMBA ITATENDA HAKI KATIKA UCHAGUZI MWAKA HUU ! KAIJAGE MIMI NAMUAMINI SANA . KAIJAGE AMEOKOKA ANAMUHOFU MUNGU . MUNGU AMBARIKI SANA MWENYEKITI WA TUME KAIJAGE PAMOJA NA MKURUGENZI WA UCHAGUZI DR MAHERA KWA KUONGEZA MUDA WA KUWAAPISHA MAWAKALA . NIIOMBE SANA TUME , IFANYIE KAZI CHANGAMOTO ZILIZOJITOKEZA KWA BAADHI YA WASIMAMIZI KUTOWAAPISHA MAWAKALA WA CHADEMA ! NIIOMBE SANA TUME IWAAGIZE WAKURUGENZI WOTE WA HALMASHAURI ( WASIMAMIZI ) NA WASIMAMIZI WASAIDIZI ( WEO ) , WATENDE HAKI KWA VYAMA VYOTE ILI UCHAGUZI HUU USIWE NA DOSARI ! NAKUOMBA SANA MH MWENYEKITI WA TUME PAMOJA NA MKURUGENZI WA UCHAGUZI MLIINGILIE KATI HILI MAWAKALA WA VYAMA VYOTE WAWEZE KUAPISHWA ILI UCHAGUZI UPATE KUWA WA HURU NA HAKI . MAWAKALA HAWA NI VIZURI WAKAPATIWA BARUA RASMI YA UTAMBULISHO ILI SIKU YA UCHAGUZI MAWAKALA WASIJE WAKAZUIWA KUINGIA KWENYE VITUO WALIVYOPANGIWA NA WASIMAMIZI WASAIDIZI ! MUNGU AKUBARIKI JAJI KAIJAGE PAMOJA NA MKURUGENZI DR MAHERA .
 
Sina imani na hilo genge la CCM wana kila dalili za kuonyesha hila dhidi ya upinzani
 
Safi sana nasikia na Songwe alipomaliza kuwaapisha kijani akasepa raia wakamfuata kwake na kumrudisha ofcn na kawaapisha
#updates: Msimamizi wa uchaguzi Musoma kakuta mawakala wa CHADEMA wamekuja na raia kama 1000 ikabidi awaapishe chap kwa haraka kabla hata ya mawakala wa CCM…
[emoji23][emoji23][emoji23] .
MUSOMA jipigieni makofiiiiiii
 
CCM ya Mtoto wa Dada yajiandaa na Sindano za Sumu
 
Mmmmh sirikali hii inapenda hangaisha wananchi kweli kweli
Pamoja na kuwa NEC,inatuhumiwa kuhujumu uchaguzi lakini pia nina wasiwasi na uwezo wa mkurugenzi wa NEC,Nahisi ni jukumu linalomzidi nguvu.yaani ni mtupu/mweupe hasa kwenye maswala ya planing. kwa sababu alitakiwa awe tayari ameshafanya majumuisho ya kujua idadi ya mawakala kutokana na majimbo vituo na wagombea waliopo.hizi ni hesabu za darasa la tano B.Yaani hapa ni hesabu za MAGAZIJUTO.hizi hesabu zilitakiwa ziwe zimeshafanyika mara tuu baada ya mchakato wa kurudisha formu za wagombea kurudishwa na kukamilika na wagombea kutangazwa.Nadhani ni huko August.
 
Tanzania ni nchi huru na vyombo vyake vyote viko huru

Asubuhi Dr Mahera aliposema analifanyia kazi alitukanwa sana. Tujifunze kuwa na ustaarabu na kuacha vyombo husika vifanye kazi zake
Hakuna Uhuru huo unaofikiria aisee!
Ni mpuuzi tu ndio ataamini pana Uhuru unaoamini, mengine wanafanya sababu ya umma unawapa presha tu.
 
haaaahaaaa huu mziki mtamu
#updates: Msimamizi wa uchaguzi Musoma kakuta mawakala wa CHADEMA wamekuja na raia kama 1000 ikabidi awaapishe chap kwa haraka kabla hata ya mawakala wa CCM…
[emoji23][emoji23][emoji23] .
MUSOMA jipigieni makofiiiiiii
 
NARUDIA TENA KUSEMA , NINA IMANI KUBWA NA TUME YA UCHAGUZI KWAMBA ITATENDA HAKI KATIKA UCHAGUZI MWAKA HUU ! KAIJAGE MIMI NAMUAMINI SANA . KAIJAGE AMEOKOKA ANAMUHOFU MUNGU . MUNGU AMBARIKI SANA MWENYEKITI WA TUME KAIJAGE PAMOJA NA MKURUGENZI WA UCHAGUZI DR MAHERA KWA KUONGEZA MUDA WA KUWAAPISHA MAWAKALA . NIIOMBE SANA TUME , IFANYIE KAZI CHANGAMOTO ZILIZOJITOKEZA KWA BAADHI YA WASIMAMIZI KUTOWAAPISHA MAWAKALA WA CHADEMA ! NIIOMBE SANA TUME IWAAGIZE WAKURUGENZI WOTE WA HALMASHAURI ( WASIMAMIZI ) NA WASIMAMIZI WASAIDIZI ( WEO ) , WATENDE HAKI KWA VYAMA VYOTE ILI UCHAGUZI HUU USIWE NA DOSARI ! NAKUOMBA SANA MH MWENYEKITI WA TUME PAMOJA NA MKURUGENZI WA UCHAGUZI MLIINGILIE KATI HILI MAWAKALA WA VYAMA VYOTE WAWEZE KUAPISHWA ILI UCHAGUZI UPATE KUWA WA HURU NA HAKI . MAWAKALA HAWA NI VIZURI WAKAPATIWA BARUA RASMI YA UTAMBULISHO ILI SIKU YA UCHAGUZI MAWAKALA WASIJE WAKAZUIWA KUINGIA KWENYE VITUO WALIVYOPANGIWA NA WASIMAMIZI WASAIDIZI ! MUNGU AKUBARIKI JAJI KAIJAGE PAMOJA NA MKURUGENZI DR MAHERA .
Kaokoka? Anamhofu Mungu? Mbona yote tume iliyoyatenda mpaka sasa inaonyesha kinyume? BTW ogopa sana sana hawa watu wanaojifanya wameokoka! Hakuna watu wabaya na watenda maovu kama hawa. Unaona Gwajima alivyo tapeli lakini anajifanya ni askofu? Unaona Magufuli anavyopenda kusimama madhabahuni na kujifanya ni mcha Mungu lakini watu wanauawa na wengine wanaponea chupuchupu kama Lissu?
 
Wameongeza muda wa kuapisha hahah
Waliotangulia mbele ya haki huko Rukwa Heshima Kwenu
Mpumzike kwa Amani
Mmetuacha kwenye mpambano mkali
Tutawaenzi !
Damu yao itakuwa juu ya vichwa vya Dr Mahera na huyo anayemtumia kufanya huu udhalimu
 
Back
Top Bottom