Uchaguzi 2020 NEC yashindwa kuzitolea majibu Rufaa 16 za Wagombea udiwani wa CHADEMA Mbeya Mjini, Wananchi watinga kwa DED kuulizia

Vipi wamepandwa na mashetani au?
 
Mahera anawasaidia CCM na Tulia mpaka anatia kinyaa, asijaribu kuchezea haki za watu kizembe namna hiyo, yatakayotokea mtakuja kujibu.
Tulia ana nini mpaka abebwe kwa gharama kubwa kiasi hicho
 
NEC inaitakia nchi mabaya.
 
Tanzania yangu naisikitikia Sana wananchi hatuna Haki wala Amani Tena kisa uroho wa madaraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…