Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Oct 22, 2020 Thread starter #41 Percy said: Soon kitawaka kama Nigeria. Time will tell. Click to expand... Mungu ibariki Nigeria
M magu2016 JF-Expert Member Joined Oct 8, 2017 Posts 8,027 Reaction score 7,115 Oct 23, 2020 #42 Erythrocyte said: Akirudi tena nistue . Click to expand... Akushitue kwani umezimia au?
Idimi JF-Expert Member Joined Mar 18, 2007 Posts 15,328 Reaction score 11,192 Oct 23, 2020 #43 Erythrocyte said: Msije kushangaa kuwakuta madiwani waliokatwa kwenye karatasi ya kupigia kura ili kujikosha , huku Tume ikijua kwamba wagombea hao hawakufanya kampeni hata mara 1 Click to expand... Hilo siwezi kushangaa. Walishawahi kumchagua Chacha Wangwe akiwa gerezani. Wananchi sio wa mchezo mchezo
Erythrocyte said: Msije kushangaa kuwakuta madiwani waliokatwa kwenye karatasi ya kupigia kura ili kujikosha , huku Tume ikijua kwamba wagombea hao hawakufanya kampeni hata mara 1 Click to expand... Hilo siwezi kushangaa. Walishawahi kumchagua Chacha Wangwe akiwa gerezani. Wananchi sio wa mchezo mchezo
mama D JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 19,981 Reaction score 35,581 Oct 23, 2020 #44 magu2016 said: Akushitue kwani umezimia au? Click to expand... Hivi wale wananchi bado wapo kwa ded?
M magu2016 JF-Expert Member Joined Oct 8, 2017 Posts 8,027 Reaction score 7,115 Oct 23, 2020 #45 mama D said: Hivi wale wananchi bado wapo kwa ded? Click to expand... Wa Mbeya au?
mama D JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 19,981 Reaction score 35,581 Oct 23, 2020 #46 magu2016 said: Wa Mbeya au? Click to expand... Yes
M magu2016 JF-Expert Member Joined Oct 8, 2017 Posts 8,027 Reaction score 7,115 Oct 23, 2020 #47 mama D said: Yes Click to expand... Kalikuwa kakundi kadogo ka kinamama wameshaondoka!
mama D JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 19,981 Reaction score 35,581 Oct 23, 2020 #48 magu2016 said: Kalikuwa kakundi kadogo ka kinamama wameshaondoka! Click to expand... Tundu hatoboi. Hata zile kura za waumini ambao walimhurumia zimetoweka baada ya kuwa anampigia amstadam kutusemelea watanzania Sasa ndio atajua watanzania hawapendi kupangiwa😁😁😁 Mapemaaa 28 wajumbe tunafanya yetu
magu2016 said: Kalikuwa kakundi kadogo ka kinamama wameshaondoka! Click to expand... Tundu hatoboi. Hata zile kura za waumini ambao walimhurumia zimetoweka baada ya kuwa anampigia amstadam kutusemelea watanzania Sasa ndio atajua watanzania hawapendi kupangiwa😁😁😁 Mapemaaa 28 wajumbe tunafanya yetu