Uchaguzi 2020 NEC yatoa ratiba ya mwisho: Lissu atafungia Dar, Magufuli Dodoma

Kabisa mkuu apigwe akiwa mzima kabisa. Akiwa na uwezo wa kukoroma mara 4 akiomba tumletee Gwajima.

Ukisikia Lisu anamuabisha mfalme ndiyo mwaka huu. Magufuli ataaibika kweupeee.
Hatakua na nguvu ya kutamka gwajimaaaaa
 
Kampeni za magufuli kanda ya kaskazini
 
Kumbe Kimara na Mbezi ni watu wa Kilimanjaro
Huyo amejiumbua na kuwaumbua wenzake...kimara na mbezi hukaliwa na watu kutoka mikoa mbalimbali...ila Kuna kundi Fulani ndani ya jamii hujitapa kuwa eneo Hilo ni lao...matatizo makubwa..
 
Magufuli ndio raisi wa mwisho kusaidiwa na dola maana wananchi wanaenda kuandaa katiba mpya
Nawachekaga mnaosemaga swala la katiba mpya ,katiba inaweza kuwepo nzuri tu ila kanuni zitakazotungwa na bunge wewe haupo zitamchomoa yoyote kama isingekuwa hiyo kanuni angetiwa hatiani .

Katiba mpya sio kigezo cha maendeleo wala haki za watu kikubwa lilia tume mkurugenzi wake asichaguliwe na Rais vinginevyo mtajifajiri tu leo siku imeisha bado siku zinayoyoma tupiga kura mrudi tena hapa.
 
Kampenj za ccm bila JK,Kinana,Nape,Makamba sn/jnr,the rate BWM,hamna kitu...polepole na Bashiru hawana wanachokijua kwenye art of public speaKing....LIMEWACHWEA MWAKA HUU.
 
Kampenj za ccm bila JK,Kinana,Nape,Makamba sn/jnr,the rate BWM,hamna kitu...polepole na Bashiru hawana wanachokijua kwenye art of public speaKing....LIMEWACHWEA MWAKA HUU.
Sijui kwa nini hawa wazee wa ccm wameamua kukaa kimy, labda watakuwepo dodoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…