Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siungi mkono vurugu kwa namna yeyote ile, lakini lazima tuulizane chanzo chake ni kutofuata ratiba!..Hatukusaini kushambuliwa na Polisi wetu hata pale ambapo hatujavunja amani.
..Pia ni vizuri Polisi wakaanza kuyathamini maisha yetu, haiswihi kuyahatarisha kwa mashambulizi kama tulioyaona Somanga.
Na huku Magu yeye anajiendea nanavyotaka, anasimama anapotaka; Mungu atalipa yote haya, na nyie NEC ni lazima muone aibu kwa kutumika ovyo kabisa! Mtalipa yote haya!..sasa wananchi walikuwepo tayari uwanjani.
..na hakukuwa na tishio lolote la kuleta vurugu au kuvunja amani.
..kwanini wananchi wasio na hatia yoyote washambuliwe na Polisi?
Nawe bwege mwingine! MATAGA akili zenu mmeuza, na baada ya uchaguzi nyote mtatupwa kama used TP!Mbona hueleweki hapa?
Maelezo yako yanajichanganya kweli kweli..
Haileweki unatoa taarifa ya NEC au unaripoti habari za safari ya Tundu Lissu Ubelgiji tarehe 18/12/2020..!!
Hizi hujuma mbona zipo wazi kabisa. Tangu alipo fungiwa inaonesha kuna hujuma zilizo ratibiwa na serekali pamoja na ccm.Tume wanasema Lissu alipangiwa Lindi, Nachingwea, na Mtwara.
Lakini hawasemi kwamba helikopta yake ilizuiwa kutua Nachingwea, na Mtwara, kwa kisingizio kwamba kuna kimbunga.
Kinachoonekana ni coordination ya mamlaka mbalimbali za serikali KUHUJUMU kampeni za Tundu Lissu.
Lugola na kabudi wanautetea ushoga na mashoga Tena kwa msisitizo wa kuwa wataendelea kuwa salama! Kwa maana kuwa hao no viongozi wako waandamizi wa ccm wanawatetea mashoga hadharani! Wewe ni Nani Hadi unene kinyume Chao? Na hapo lumumba mnao mashoga wa kutosha au unayataka majina na vyeo vyao?Mwambieni lissu usaliti kwa Nchi ni laana kwa Taifa, ndio maana amekipelekea chama chake magundu
Pia Tanzania hatutaki ushoga,
Siungi mkono vurugu kwa namna yeyote ile, lakini lazima tuulizane chanzo chake ni kutofuata ratiba!
Nenda polisi basi
Kiongozi mkuu wa nchi na msaidizi wake wote ni mashoga (wa kike na kiume!), au hamulijui hilo? Lissu yeye anaongelea haki ya kuishi ya mashoga kama watu wengine kwenye jumuia, hajasema anawasapoti! Hamjui mlisemalo!Lugola na kabudi wanautetea ushoga na mashoga Tena kwa msisitizo wa kuwa wataendelea kuwa salama! Kwa maana kuwa hao no viongozi wako waandamizi wa ccm wanawatetea mashoga hadharani! Wewe ni Nani Hadi unene kinyume Chao? Na hapo lumumba mnao mashoga wa kutosha au unayataka majina na vyeo vyao?
Mahi ya shingo pamoja na anaowatetea msamehe bure.tusi lipi nmekutukana?
una ushahidi gani kuwa mimi ni chadema, kwanini usiseme mimi ni chauma?
hivi unajua kusoma kiswahili kwa ufasaha?
Mods , mbona huyu mtu anajaza server bure na hamumpigi BAN ?Chadema ni watu wa vurugu na uongo.