Uchaguzi 2020 NEC yatoa ufafanuzi Lissu kuzuiwa kufanya kampeni Kilwa

Uchaguzi 2020 NEC yatoa ufafanuzi Lissu kuzuiwa kufanya kampeni Kilwa

Mamlaka zote zimekaa kuhujumu Lissu
Nashangaa wewe unalalama hapa bila aibu wakati Yeye muhusika anajua kabisa anavunja utaratibu lakini kwa makusudi kabisa anajifanya hamnazo..na Wala halalamiki kivile, hustuki..sijui akili yako jomba inatokea wapi
 
NEC haina point. Zimebakia siku 4 tupige kura nyie mnaketi kufikiria mambo ya ratiba ya mgombea urais? Nyie NEC hampo serious! Hii inaonesha kwamba maamuzi hayafanywi na NEC!
Kwenda kule msitufanye hatuna akili..fateni sheria kanuni na taratibu mpaka siku ya mwisho...na dakika ya mwisho
 
..Ndio ukweli wenyewe huo.

..Tume ya Uchaguzi ilimpa ratiba ya Lindi, Nachingwea, na Mtwara.

..Mamlaka ya usafiri wa anga ikasema haruhusiwi kutua Nachingwea, na Mtwara, kwasababu kuna kimbunga.

..Alipotua Somanga, ambayo iko mkoani Lindi, wananchi waliohudhuria mkutano wake wakashambuliwa kwa MABOMU na jeshi la Polisi.
Ujinga . Halafu mTz msomi anaunga mkono na kushabikia maamuzi ya hovyo
 
Dar es Salaam, polisi jana Ijumaa Oktoba 23, 2020 walilazimika kutumia mabomu ya machozi kuzuia mkutano wa kampeni wa mgombea urais kupitia Chadema, Tundu Lissu mjini Somanga, Kilwa kwa maelezo kuwa mkutano huo haukuwa halali...

Vipi kuhusu kuhusu Tuhuma za vituo hewa na wapiga kura hewa? Hilo ni kama sija lisikia likifafanuliwa
 
Chadema ni watu wa vurugu na uongo.
Tumekuzoea! Nina uhakika kuwa ndani ya ubongo wako na nafsi yako kumejaa laana! Hoja zako nyingi hazina tofauti na uchafu utokao kwenye banda la kuku yaani mabaki ya pumba na kinyesi Cha kuku!
Hoja zako zinanuka Kama mwili wako!
 
Kwa hiyo NECccm ikamuamba kaka yake policcm amsaidie kuwapiga wananchi mabomu ili kuumiza wazee na watoto walokuwepo hapo

Mbona ilionekana mkutano ulikuwa umeratibiwa vizuri na polccm walikuwa wamejipanga kulinda amani

Na hilo la ticket limekujaje hapo

Necccm nyie watu wabaya sana
 
..Ni kweli aliandika barua.

..sasa kwanini hakupewa ruhusa?

..kwanini Polisi walishambulia wananchi kwa MABOMU?

..nini ilikuwa sababu ya kuuvuruga mkutano wa Tundu Lissu Somanga?
Kwanini nakusubiria kibali, hayo ndio malipo yake.

October 28th ni JPM tuu.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Mwambieni lissu usaliti kwa Nchi ni laana kwa Taifa, ndio maana amekipelekea chama chake magundu

Pia Tanzania hatutaki ushoga,
Tumekuzoea! Nina uhakika kuwa ndani ya ubongo wako na nafsi yako kumejaa laana! Hoja zako nyingi hazina tofauti na uchafu utokao kwenye banda la kuku yaani mabaki ya pumba na kinyesi Cha kuku!
Hoja zako zinanuka Kama mwili wako!
 
Kwanini nakusubiria kibali, hayo ndio malipo yake.

October 28th ni JPM tuu.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA

..Nec wanachelewasha vibali kwa makusudi.

..Na sasa Nec wanashirikiana na Tcaa kuleta figisu za kumnyima Tundu Lissu kutua na helikopta ktk maeneo mbalimbali aliyopangiwa kufanya kampeni.
 
Samia SUluhu Pale Kinambeu alisimama bila kuwa na ratiba ya kufanya mkutano pale.. na hata kuandika barua haikufanyika... JPM alisimama huko Ngara jirani kabisa na alipokuwa mgombea mwingine..!!! NDIMI MBILI
Tushawajua hata hawatusumbui
 
Dar es Salaam, polisi jana Ijumaa Oktoba 23, 2020 walilazimika kutumia mabomu ya machozi kuzuia mkutano wa kampeni wa mgombea urais kupitia Chadema, Tundu Lissu mjini Somanga, Kilwa kwa maelezo kuwa mkutano huo haukuwa halali.

Lissu alikuwa katikati ya mkutano wake wakati polisi walipofika na kumtaka aondoke eneo hilo licha ya madai yake kwamba ulikuwa kihalali. Lissu katika utetezi wake amedai alikuwa ameandika barua kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuomba kibali cha kuruhusiwa kufanya kampeni Somanga kwa sababu hakukuwa na mgombea mwingine aliyepangwa kufanya kampeni.
NEC wamekiri kupokea barua kutoka kwa Lissu akitaka kufanya mkutano wa kampeni huko Somanga.

Mkurugenzi wa Uchaguzi NEC, Charles Mahera amesema kufuatia barua hiyo, ilitakiwa kuwe na mkutano na vyama vingine vya kisiasa kukubaliana juu ya mabadiliko ya ratiba. Kulingana na ratiba ya NEC, Lissu alitakiwa kufanya kampeni Lindi, Nachigwea na Mtwara.

“Kabla mkutano haujapangiwa kuamua juu ya mabadiliko Lissu aliamua kufanya kampeni huko Somanga. Lakini ninachoweza kusema ni kwamba, tulikuwa bado tumeketi kuamua juu ya upangaji wa ratiba, ”alisisitiza.

Baada ya mkutano wake kutawanywa, Lissu alielezea kwamba helkopta yake iliruhusiwa kutua Kilwa kwa sababu alikuwa na ruhusa ya kufanya hivyo. "Nimekuja hapa kwa amani kufanya mkutano wangu lakini kuna watu ambao wanataka kusababisha machafuko waache waendelee na dhamira yao, tutafanya kile tumekuja kufanya kwa amani" alisema.

Alibainisha kuwa mamlaka pekee inayoshughulika na ratiba ya kampeni ilikuwa NEC na sio vyombo vingine vya dola.

Wakati huo huo akiwa Lindi, Lissu alikiri kwamba ana tiketi ya ndege kwenda Ulaya Desemba 18 mwaka huu ambapo anatarajia kwenda kupata matibabu zaidi. "Ni kweli kwamba nina tiketi, nina miadi na daktari wangu kukagua mguu na mkono wangu ambao bado ninapata matibabu," alisema.

Alisisitiza kuwa ikiwa angetaka kukaa mbali na Tanzania, angeweza kufanya hivyo baada ya kupigwa na risasi Septemba 16, 2017.
Mauaji ya MKIRU
gas ya Mtwara
Korosho ndiyo yaliyofanya azuiwe kufika huko
 
Very wicked CCM. Shetani wakubwa.
Shetani ni Lisu kwa sababu kabla kikao kupangwa na NEC yeye alikimbilia kufanya mkutano kwa sababu tu kapeleka barua NEC .Mwanasheria gani ambaye hafuati hata utaratibu.Kitakacho mponza Lisu ni ujuaji mwingi ,majivuno,maringo ,kukosa subra na kiburi lakini anakuja kuumbuka na vitu vidogo ambapo hakuna sababu ya maana.
 
..Nec wanachelewasha vibali kwa makusudi.

..Na sasa Nec wanashirikiana na Tcaa kuleta figisu za kumnyima Tundu Lissu kutua na helikopta ktk maeneo mbalimbali aliyopangiwa kufanya kampeni.
Kwanini asingesubiria ajibiwe? hilo ndio swali langu

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Back
Top Bottom