SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Naanza kuamini kuwa sasa CCM imechokwa na vyombo vya dola na wanafanya makusudi kumfanyia fujo Lissu ili kuionyesha dunia kuwa CCM imeshashindwa hivyo inatumia vyombo vya dola kama NEC na Polisi kulazimisha ushindi. Huu ni mpango mahsusi wa kuiondoa CCM madarakani. Asanteni Polisi na NEC kuwa upande wa wananchi.