Uchaguzi 2020 NEC yatoa ufafanuzi Lissu kuzuiwa kufanya kampeni Kilwa

Uchaguzi 2020 NEC yatoa ufafanuzi Lissu kuzuiwa kufanya kampeni Kilwa

..sasa wananchi walikuwepo tayari uwanjani.

..na hakukuwa na tishio lolote la kuleta vurugu au kuvunja amani.

..kwanini wananchi wasio na hatia yoyote washambuliwe na Polisi?
Lakini lazima kuwe na ratiba iliyothibitihwa na mamlaka! Ni ajabu, nikiandika barua ya maombi ya kazi leo kesho naanza kazi! Bila mamlaka ya ajira kuniajiri! Sawa aliomba kibali angesubiri majibu!
 
Lakini lazima kuwe na ratiba iliyothibitihwa na mamlaka! Ni ajabu, nikiandika barua ya maombi ya kazi leo kesho naanza kazi! Bila mamlaka ya ajira kuniajiri! Sawa aliomba kibali angesubiri majibu!

..haya ni masuala ya dharura, na yanatakiwa yashughulikiwe kwa uharaka.

..sasa tumeona kwamba mkutano ule ulikuwa unaweza kufanyika kwasababu wananchi walijitokeza, na mgombea alifika eneo la mkutano.

..vilevile hakukuwa na tushio lolote la amani. hakukuwa na vurugu zozote zile kuhalalisha mkutano uzuiliwe.

..sasa kutokuwepo kwa " BARUA " ya Nec kunahalalisha kumnyima mgombea nafasi ya kuzungumza na wananchi?

..kutokuwepo kwa " BARUA " ya Nec kunahalalisha Polisi kuwashambulia wananchi kwa MABOMU ya machozi?
 
Lisu ni loser
Mtu ambaye ni loser anaachwa ahangaike, anaachwa afanye mikutano yake kwa amani, anaachwa azunguke, hapigwi mabomu, hafungiwi kampeni, gari zake hazikamatwi, hatolewi matamko na NEC wala CCM, chawa wa Bakwata hawahangaiki kumtolea matamko, hawekewi mapingamizi, mawakala wake wanatakiwa kuapishwa bila figisu, Nguvu inayotumika dhidi ya LISSU inaonesha kabisa ni jinsi gani alivyo THREAT kwa CCM.

Je nguvu inayotumika kwa Lissu ndiyo inayotumika kwa Lipumba? Wa TADEA je? Wa ADC je? Kwanini Lissu na Maalimu Seif tu? Nani ni loser hapa, jibu kaa nalo.
 
..haya ni masuala ya dharura, na yanatakiwa yashughulikiwe kwa uharaka.

..sasa tumeona kwamba mkutano ule ulikuwa unaweza kufanyika kwasababu wananchi walijitokeza, na mgombea alifika eneo la mkutano...

..kutokuwepo kwa " BARUA " ya Nec kunahalalisha Polisi kuwashambulia wananchi kwa MABOMU ya machozi?
Mimi na wewe hatuna mamlaka ya kuthibitisha kuwa hakukuwa na tishio la amani! Kuna vigezo vingi vya kupanga ratiba nadhani. Haiwezekani tu tunaishi bila utaratibu na kinyume na maadili tuliyosaini wenyewe!
 
..Hatukusaini kushambuliwa na Polisi wetu hata pale ambapo hatujavunja amani.

..Pia ni vizuri Polisi wakaanza kuyathamini maisha yetu, haiswihi kuyahatarisha kwa mashambulizi kama tulioyaona Somanga.
 
Uzuri, imeishajulikana kuwa Lissu na wenzake wanatafuta nongwa!
Hapo ni "nongwa" ipi ilikuwa inatafutwa na Lissu.

Hivi akili mmeshindwa kabisa jinsi ya kuzitumia, mmekuwa kama maroboti tu yasiyofikiri, yakifuata maelekezo tu ya programu yaliyowekewa?
 
Chadema ni watu wa vurugu na uongo

Wakiendelea hivi vyombo vya usalama havitawavumilia

Haiwezekani kikundi cha watu wachache waliotumwa na Mabeberu waharibu amani ya Nchi yetu

Kila mtu kasoro watawala analalamika kuwa cdm wamekuwa wapole sana, ndio maana wanafanyiwa ukatili kwa maagizo ya rais na wapambe wake.
 
Chadema ni watu wa vurugu na uongo

Wakiendelea hivi vyombo vya usalama havitawavumilia

Haiwezekani kikundi cha watu wachache waliotumwa na Mabeberu waharibu amani ya Nchi yetu
Upo bia ya ngapi mda huu
 
..sasa wananchi walikuwepo tayari uwanjani.

..na hakukuwa na tishio lolote la kuleta vurugu au kuvunja amani.

..kwanini wananchi wasio na hatia yoyote washambuliwe na Polisi?
Fuateni Sheria Acheni Kukurupuka kama Hamjui mpangilio Wa Taratibuvza Kampeni
 
Dar es Salaam, polisi jana Ijumaa Oktoba 23, 2020 walilazimika kutumia mabomu ya machozi kuzuia mkutano wa kampeni wa mgombea urais kupitia Chadema, Tundu Lissu mjini Somanga, Kilwa kwa maelezo kuwa mkutano huo haukuwa halali...
Muda ambao mkutano unakaribia kuisha NEC bado hawajaanza kikao cha kuijibu barua! NEC ni collaborator wa CCM.
 
Shida yangu hela
😂😂😂😂
Yaani Mtoto Wa Kiume Huna Hata Nguvu Za Kusukuma Guta Ili Uishi Leo Utake KITONGA chochote tu Kile looooh ha ha ha,ila Pole Kaka Huenda Unazo Sababu Za Kiafya Kutolisukuma Kokoteni...

Karibu Buguruni Sokoni Utuone Wenzako Tulio Na Masters Huku Tunabeba Mizigo na Matoroli Yetu....

Life's a long journey
 
NEC haina point. Zimebakia siku 4 tupige kura nyie mnaketi kufikiria mambo ya ratiba ya mgombea urais? Nyie NEC hampo serious! Hii inaonesha kwamba maamuzi hayafanywi na NEC!
 
..sasa wananchi walikuwepo tayari uwanjani.

..na hakukuwa na tishio lolote la kuleta vurugu au kuvunja amani.

..kwanini wananchi wasio na hatia yoyote washambuliwe na Polisi?
Fuata sheria taratibu na kanuni mlizojipangia wenyewe..hata hizo nazo mfundishwe..nyie mnavichwa panzi eeh
 
Back
Top Bottom