Turnkey
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 7,359
- 5,837
CCm ni majitu maovu, majizi na mashetani yanatoa kafara watoto wa kuwazaa wapate uongoziChadema ni watu wa vurugu na uongo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCm ni majitu maovu, majizi na mashetani yanatoa kafara watoto wa kuwazaa wapate uongoziChadema ni watu wa vurugu na uongo.
Nashangaa wewe unalalama hapa bila aibu wakati Yeye muhusika anajua kabisa anavunja utaratibu lakini kwa makusudi kabisa anajifanya hamnazo..na Wala halalamiki kivile, hustuki..sijui akili yako jomba inatokea wapiMamlaka zote zimekaa kuhujumu Lissu
Kwenda kule msitufanye hatuna akili..fateni sheria kanuni na taratibu mpaka siku ya mwisho...na dakika ya mwishoNEC haina point. Zimebakia siku 4 tupige kura nyie mnaketi kufikiria mambo ya ratiba ya mgombea urais? Nyie NEC hampo serious! Hii inaonesha kwamba maamuzi hayafanywi na NEC!
Jomba tayari naona dishi limeshacheza...umevurugwa tayariCCm ni majitu maovu,majizi na mashetani yanatoa kafara watoto wa kuwazaa wapate uongozi
hivi unafanya kazi saa ngapi ya kujipatia kipato?Haikihusu,anakula kwako?
kwani uongo Meko watoto wawili,Yule wa michezo ya kubahatish wawili..Yule wa wanyama list ndeffuuuuJomba tayari naona dishi limeshacheza...umevurugwa tayari
Heri kujiunga DECI kuliko kujiunga chadema
Ujinga . Halafu mTz msomi anaunga mkono na kushabikia maamuzi ya hovyo..Ndio ukweli wenyewe huo.
..Tume ya Uchaguzi ilimpa ratiba ya Lindi, Nachingwea, na Mtwara.
..Mamlaka ya usafiri wa anga ikasema haruhusiwi kutua Nachingwea, na Mtwara, kwasababu kuna kimbunga.
..Alipotua Somanga, ambayo iko mkoani Lindi, wananchi waliohudhuria mkutano wake wakashambuliwa kwa MABOMU na jeshi la Polisi.
Si ungemjibu tu kwamba, ndiyo kazi yenyewe [emoji1787][emoji23]Nimekukosea nini Mbona wanitukana ? Chadema Kwanini mnapenda matusi ?
Dar es Salaam, polisi jana Ijumaa Oktoba 23, 2020 walilazimika kutumia mabomu ya machozi kuzuia mkutano wa kampeni wa mgombea urais kupitia Chadema, Tundu Lissu mjini Somanga, Kilwa kwa maelezo kuwa mkutano huo haukuwa halali...
Tumekuzoea! Nina uhakika kuwa ndani ya ubongo wako na nafsi yako kumejaa laana! Hoja zako nyingi hazina tofauti na uchafu utokao kwenye banda la kuku yaani mabaki ya pumba na kinyesi Cha kuku!Chadema ni watu wa vurugu na uongo.
Kwanini nakusubiria kibali, hayo ndio malipo yake...Ni kweli aliandika barua.
..sasa kwanini hakupewa ruhusa?
..kwanini Polisi walishambulia wananchi kwa MABOMU?
..nini ilikuwa sababu ya kuuvuruga mkutano wa Tundu Lissu Somanga?
Tumekuzoea! Nina uhakika kuwa ndani ya ubongo wako na nafsi yako kumejaa laana! Hoja zako nyingi hazina tofauti na uchafu utokao kwenye banda la kuku yaani mabaki ya pumba na kinyesi Cha kuku!
Hoja zako zinanuka Kama mwili wako!
Kwanini nakusubiria kibali, hayo ndio malipo yake.
October 28th ni JPM tuu.
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Tushawajua hata hawatusumbuiSamia SUluhu Pale Kinambeu alisimama bila kuwa na ratiba ya kufanya mkutano pale.. na hata kuandika barua haikufanyika... JPM alisimama huko Ngara jirani kabisa na alipokuwa mgombea mwingine..!!! NDIMI MBILI
Mauaji ya MKIRUDar es Salaam, polisi jana Ijumaa Oktoba 23, 2020 walilazimika kutumia mabomu ya machozi kuzuia mkutano wa kampeni wa mgombea urais kupitia Chadema, Tundu Lissu mjini Somanga, Kilwa kwa maelezo kuwa mkutano huo haukuwa halali.
Lissu alikuwa katikati ya mkutano wake wakati polisi walipofika na kumtaka aondoke eneo hilo licha ya madai yake kwamba ulikuwa kihalali. Lissu katika utetezi wake amedai alikuwa ameandika barua kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuomba kibali cha kuruhusiwa kufanya kampeni Somanga kwa sababu hakukuwa na mgombea mwingine aliyepangwa kufanya kampeni.
NEC wamekiri kupokea barua kutoka kwa Lissu akitaka kufanya mkutano wa kampeni huko Somanga.
Mkurugenzi wa Uchaguzi NEC, Charles Mahera amesema kufuatia barua hiyo, ilitakiwa kuwe na mkutano na vyama vingine vya kisiasa kukubaliana juu ya mabadiliko ya ratiba. Kulingana na ratiba ya NEC, Lissu alitakiwa kufanya kampeni Lindi, Nachigwea na Mtwara.
“Kabla mkutano haujapangiwa kuamua juu ya mabadiliko Lissu aliamua kufanya kampeni huko Somanga. Lakini ninachoweza kusema ni kwamba, tulikuwa bado tumeketi kuamua juu ya upangaji wa ratiba, ”alisisitiza.
Baada ya mkutano wake kutawanywa, Lissu alielezea kwamba helkopta yake iliruhusiwa kutua Kilwa kwa sababu alikuwa na ruhusa ya kufanya hivyo. "Nimekuja hapa kwa amani kufanya mkutano wangu lakini kuna watu ambao wanataka kusababisha machafuko waache waendelee na dhamira yao, tutafanya kile tumekuja kufanya kwa amani" alisema.
Alibainisha kuwa mamlaka pekee inayoshughulika na ratiba ya kampeni ilikuwa NEC na sio vyombo vingine vya dola.
Wakati huo huo akiwa Lindi, Lissu alikiri kwamba ana tiketi ya ndege kwenda Ulaya Desemba 18 mwaka huu ambapo anatarajia kwenda kupata matibabu zaidi. "Ni kweli kwamba nina tiketi, nina miadi na daktari wangu kukagua mguu na mkono wangu ambao bado ninapata matibabu," alisema.
Alisisitiza kuwa ikiwa angetaka kukaa mbali na Tanzania, angeweza kufanya hivyo baada ya kupigwa na risasi Septemba 16, 2017.
Shetani ni Lisu kwa sababu kabla kikao kupangwa na NEC yeye alikimbilia kufanya mkutano kwa sababu tu kapeleka barua NEC .Mwanasheria gani ambaye hafuati hata utaratibu.Kitakacho mponza Lisu ni ujuaji mwingi ,majivuno,maringo ,kukosa subra na kiburi lakini anakuja kuumbuka na vitu vidogo ambapo hakuna sababu ya maana.Very wicked CCM. Shetani wakubwa.
Kwanini asingesubiria ajibiwe? hilo ndio swali langu..Nec wanachelewasha vibali kwa makusudi.
..Na sasa Nec wanashirikiana na Tcaa kuleta figisu za kumnyima Tundu Lissu kutua na helikopta ktk maeneo mbalimbali aliyopangiwa kufanya kampeni.
Ulitegemea NEC ya Mahera waje na majibu gani tofauti na haya waliyoandikiwa na polepole.Uzuri, imeishajulikana kuwa Lissu na wenzake wanatafuta nongwa!