Peter kenny
Member
- Jan 29, 2013
- 7
- 0
Habar mnazipata wapi jamani acheni uzushi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatudanganyiki!!!!?
hahaaaaaa! Kwa nini msidanganyike wakati pressure imewapanda? Kesheni mkiomba yatoke vyema!
Sasa JF inahusika vipi na matokeo mpaka uipe hiyo "adhabu"?
tupe source mangi
Leo lazma kiwe hewani
Naibu wazir wa elimu ndugu mlugo amesema hatua zote zimekamilika kuhusu matokeo ya kidato cha4 hivyo yatatangazwa leo hii at any time.
jtoe kwanza anae kuomba ubak humu ni nani?
Huenda ikawa kweli, na pengine wanafanya updates kwenye tovuti yao maana huu ndo ujumbe inaoleta ukitaka kuitembelea:
Database Error: Unable to connect to the database:Could not connect to MySQL