NECTA Kutangaza Matokeo Leo ya kidato cha Nne Leo.

NECTA Kutangaza Matokeo Leo ya kidato cha Nne Leo.

Status
Not open for further replies.
Kwani ni lazima kuchangia kila kitu? kukaa kimya wakati mwingine ni busara zaidi kuliko kuchangia kitu kisichokuwa na mashiko.
 
Kama ni uongo wamebobea wafikie point waone khaya mda wote huo wanadanganya
 
baada ya watu wengi kuandika yao katika mitandao mbalimbali,sasa leo Baraza la Mitahani Tanzania latoa tamko rasmi.
Akinukuliwa Naibu waziri wa elimu MH.Phllip Mulugo alisema"Tumefanya kila jitihada kuhakikisha kwamba tunatangaza matokeo haya hivi leo na kila kitu kinaenda kama tulivyo panga,ivyo basi tunatangaza rasmi kwamba matokeo hayo yantangazwa leo".

source of information please...
 
Hivi mbona binadamu tumekuwa watumwa wa mawazo kiasi hicho?,kama hauna ukwel na unachokiongea ni vyema ukakaa kmya okay!
 
mmeanza tena kulikwa kimya hapa wikiendi, nani kakwambia Naibu waziri wa elimu anahusika na NECTA matokeo yake yanayomuhusu alishatangaza yaani ya form 2
Kwa hiyo mkuu kiwango cha MULUGO ni form two peke yake...nimecheka sana aiseeee....dah....
 
Jamani kwakweli kitu kimesemwa asubuhi sasa tunasubiria tuu kiwe hewan!!
Fwatilien habari za asubuhi then mjiite g8t thinker
 
Naibu wazir wa elimu ndugu mlugo amesema hatua zote zimekamilika kuhusu matokeo ya kidato cha4 hivyo yatatangazwa leo hii at any time.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom