Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
baada ya watu wengi kuandika yao katika mitandao mbalimbali,sasa leo Baraza la Mitahani Tanzania latoa tamko rasmi.
Akinukuliwa Naibu waziri wa elimu MH.Phllip Mulugo alisema"Tumefanya kila jitihada kuhakikisha kwamba tunatangaza matokeo haya hivi leo na kila kitu kinaenda kama tulivyo panga,ivyo basi tunatangaza rasmi kwamba matokeo hayo yantangazwa leo".
So what?acha mambo ya kitoto!
Kwa hiyo mkuu kiwango cha MULUGO ni form two peke yake...nimecheka sana aiseeee....dah....mmeanza tena kulikwa kimya hapa wikiendi, nani kakwambia Naibu waziri wa elimu anahusika na NECTA matokeo yake yanayomuhusu alishatangaza yaani ya form 2
walikuwa wanayachakachua kwa sababu za kisiasa!Ila kiukwel madogo ze2 hawajawatendea haki,kwan kuna ki2 gan mwaka huu?
Nyie wase***,msicho elewa nn?
Matokeo hadi May 31. kidato cha tano na vyuo ni Julai.