NECTA Kutangaza Matokeo Leo ya kidato cha Nne Leo.

NECTA Kutangaza Matokeo Leo ya kidato cha Nne Leo.

Status
Not open for further replies.
Jamii Forums inahusika vipi na matokeo yako bwana mdogo. Kama una Div ziro ni yako tu. Matokeo utaypata tu hata kama ni mweiz wa tatu au wa nne. pole lakini

kumbe na wew ni mbululu hujui kuwa demu wako yupo form lv?na sio kwamb wote wanayo yasubl ni 4m 4 tu. Ongeza akil zako zpanuke inaonekan wew ni mwanachuo ila udom au kiu au teku et nimekose?hahaha
 
saa saba hapo tbccm mzigo utakuwa tayari maana naona wanaelekea baraza waandsh wa habari wameitwa
 
Dah!,huenda matokeo haya wote wamefaulu,mpaka saiv hakuna kitu!,wash...nz. xana hawa!
 
thats fun!!!!!!!!!unajpa adhabu mwenyewe kwa ki2 ambacho kimeandikwa mpaka kwenye magazeti ya leo.......:A S angel::nono::-*
 
Dah, dogo sasa ndo nini hiki? Ungeenda kucomment kwenye nyuzi zingine naziona kibao hapo chini, kuna haja gani ya kuanzisha uzi kama huu usio na kichwa wala tumbo!‎؟‎ Fk


Sorry FK ndio nini hapo mwisho? Samahani lakini!
 
Acha pumba zako,inamaamna yatatoka bla kutangazwa?,kwa kwel kilaza ni kilaza tu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom