Jamii Forums inahusika vipi na matokeo yako bwana mdogo. Kama una Div ziro ni yako tu. Matokeo utaypata tu hata kama ni mweiz wa tatu au wa nne. pole lakini
hivi mnaona raha kutunga habari?saa saba hapo tbccm mzigo utakuwa tayari maana naona wanaelekea baraza waandsh wa habari wameitwa
Leo lazma kiwe hewani
yasipotoka jinyonge kabisa usiwepo duniani, utakuwa umewakomoa woteeeeeeeeee
yasipotoka jinyonge kabisa usiwepo duniani, utakuwa umewakomoa woteeeeeeeeee
thats fun!!!!!!!!!unajpa adhabu mwenyewe kwa ki2 ambacho kimeandikwa mpaka kwenye magazeti ya leo.......:A S angel::nono::-*
utoto ni shida, tumsamehe course ndio yupo kwenye kozi ya computer.
Dah, dogo sasa ndo nini hiki? Ungeenda kucomment kwenye nyuzi zingine naziona kibao hapo chini, kuna haja gani ya kuanzisha uzi kama huu usio na kichwa wala tumbo!‎؟‎ Fk
hahahaha! du kama wa CHADULU vile!