NECTA kuwa na mfumo wa kuficha majina ya watahiniwa katika matokeo, ina faida gani?

*****, nimecheka kama mazuri
Sisi kipindi kile mama anapokea masimu tu toka kwa ndugu wa Dar mwanao kapata one kali. hongera. Maana jina lipo huna cha kuficha
 
Kuna watu mna vipaji vya kulalamika na kulaumu. Mleta uzi hongera sana kwa kipaji... ukikaza utakuwa mchawi mwandamizi.
 
Dah nimecheka sanaaaa. Umesimulia vizuri sana mkuu.

Ilipunguza janja janja sana.

Unajifanya tozi watu wanakwambia subiri necta utage, same kwa masista du.

Ila mkuu hapo mlikuwa jiran na hospital kwa nin hamkumuwahisha akapate huduma stahiki?
Nisiwe muongo. Idea ya first aid na nini cha kufanya kwa pale hakuna aliyekua anajua. Hakuna aliyetoa wazo la hospital na wote tukakumbwa na kitu kinaitwa bystander effect
 
Sasa naibu ndo huyu hapa chini unategemea nini.

Elimu za ujanja janja huku unakuwa mtu mwenye kuleta impact kwa jamii. Ni lazima watu wajue njia zako bila kuacha kitu.


Ipo siku na mwanao akikwambia hayakuhusu ni matokeo yake usimletee zogo.

Siwezi Lea mtoto wa hivyo
 
Hii ilitakiwa iwe kwa 4m 4 na 6 kuficha majina.
Nimeshangaa mwaka huu hadi std 4, wametoa No tyuu. Lol
 
Hii ilitakiwa iwe kwa 4m 4 na 6 kuficha majina.
Nimeshangaa mwaka huu hadi std 4, wametoa No tyuu. Lol
Hakuna kuficha katika ngazi zote.

Same ambavyo wanapublish research zao.

Tuone pia grade zao. Elimu ni jambo la umma. Ile sio afya binafsi.
 
Sasa hapa umeona mtu kaamua kufuatilia zaidi. Sasa ni wangapi wanapigwa. Dogo anamaliza form 4 anakwambia kapiga 1, lakn hachaguliwi form 5.
 
Hili suala limekaa kidini. Wanafanya hivyo kuficha dini

Cha ajabu serikali inasemaga haina dini.
vikobazi vinafeli sana mitihani, ndio hao wanaoandika matusi kwenye karatasi za kujibia mtihani. Pelekeni watoto kwenye elimu zinazoeleweka dunia nzima, acheni kupeleka watoto kujifunza maroroso ya quran huko madrasa
 
Huyo fadhili humu jf anajiita Vishu mtata...
Asante mkuu kwa kisa kama hiki nimefurahi sana.
Kwa sasa maisha yanavyomkanda hata akizima hakuna maziwa wala fanta ni kipigo tuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Chanzo ni wale watoto wa madrasa walikuwa wanafeli vibaya sana, ikabidi wafichiwe aibu. Ndio hawa wanaondika matusi kwenye karatasi za kujibia. Mkiambiwa madrasa zinaharibu watoto ubongo muwe mnaelewa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Tunakutafuta we jamaaa na tukikupata utatupa kirefu cha neno BAKWATA
 
Sisi tuliandikwa matokeo yetu kwenye magazeti ambayo yapo maktaba hadi leo kila kona ya nchi.
Tunawalea vibaya watoto wetu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ«΅πŸ«΅πŸ«΅πŸ«΅ Huo ni zaidi ya unyama aiseee
 
vikobazi vinafeli sana mitihani, ndio hao wanaoandika matusi kwenye karatasi za kujibia mtihani. Pelekeni watoto kwenye elimu zinazoeleweka dunia nzima, acheni kupeleka watoto kujifunza maroroso ya quran huko madrasa
Unataka mwanangu awe better kwenye ilmu dunya ili iweje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…