NECTA yatangaza matokeo ya darasa la nne na kidato cha pili, 2017, 51,807 wakwama kuendelea kidato cha 3

NECTA yatangaza matokeo ya darasa la nne na kidato cha pili, 2017, 51,807 wakwama kuendelea kidato cha 3

Necta wamebugi sijui hawana wajuwaji wa java script
 
Nahitaji kutafiti kubaini ni mawaziri na manaibu wangapi watoto wao Wanasoma kupitia elimu bure Ni wabunge wangapi watoto wao wananufaika kupitia elimu bure Ni makatibu wangapi wa utumishi wa umma watoto wao wanasoma kupitia elimu bure Hebu tufanye utafiti wa hili
 
Mbona link yenyewe haifunguki!! Au Simu yangu tu!!!
 
Back
Top Bottom