NECTA yatangaza matokeo ya darasa la nne na kidato cha pili, 2017, 51,807 wakwama kuendelea kidato cha 3

NECTA yatangaza matokeo ya darasa la nne na kidato cha pili, 2017, 51,807 wakwama kuendelea kidato cha 3

Mkuu nimejaribu kudownload hiyo pdf imegoma,niasidie shule inaitwa njelela
IMG_20180110_143812.JPG
 
Kaka naomba tafadhali unitumie majina yote ya dihimba secondary school
Ndo hapa najaribu kuituma link. Ila tatizo link hazifunguki kwahiyo tuvumiliane ntakuwa nascreenshot kidogo kidogo kiongozi.

sorry kwa usumbufi
 
Matokeo ya serikali yanaridhisha ila maslai hayaridhishi.
Hapa sijui kitatokea nini mbeleni?
 
Baraza wameweka matokeo kiajabu sijawahi kuona

1. Ukijaribu ku search haikubali kwami shule ni nyingi sana

2. Hawajatoa hata option ya ku filter either kwa kutumia namba ya mtihani , jina la shule ama jina la mwanafunzi. Jana nilitumia karibia nusu saa kuitafuta shule moja
we ndo mshamba ukifungua shule control +f andika jina then enter
 
Back
Top Bottom