KEMEBOS NDO KAIZIREGE CHIEF, NI NUMBER 3hata kumi bora haipo-ila nadhani kaizerege ni O level
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KEMEBOS NDO KAIZIREGE CHIEF, NI NUMBER 3hata kumi bora haipo-ila nadhani kaizerege ni O level
Acha upuuzi na zamani ilikuwajeUnasikia bingwa, hayo matokeo hasa hiyo shule namba 1 kwa maoni yangu kuna sarakasi.
wawachukue hao watoto wote leo wawape mtihani mwingine utaona ukweli, mtihani utungwe na kufungiwa ndani pamoja na watunzi hadi siku wanapofanya watahiniwa.
Kanda ya ziwa kuna vurugu sana ya udanganyifu iwe kurudia mitihani kwa jina jingine n.k.
Imepotea kama ilivyopotea mifukoni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani mikoa mingine hizo Shule hamna? Mbona hawajashika hizo namba? Wengi ni wenyeji Wa pale acha wivu and think big before vomiting.Think bigger mkuu shule zipo kanda ya ziwa je hao wanafunzi nikutoka kanda gani. Maana sijaona shule ya serikali sidhani kama ipo hapo. Hizo ni zile shule za Ze...ze...ze.
Mimi ndio naweza kuwa mshamba lakini wewe ndio wa mjini, lakini kwa kushabikia au kushadadia bus la ukabila au ukanda kama "mdada" it is obviouly u r a bongeee la mshamba licha ya jitihada zako za kujaribu kutumia "kiinglishi" ili kuonyesha kama wewe ni wa Mjini. Sawa wewe wa Mujini ??? Maana mwerevu hawezi hata kidogo kushobokea "un sustainable thing" u should understand in a big way the world is dynamic , what was correct yester-years is not correct today. Though we have to preserve some of our cultural heritage.Ushamba?? Hivi mimi na wewe nani anaweza kuwa mshamba?
Poor you
Nimeandika hivyo kwa makusudi kabisa ili kutofautisha wa mjini na Yule anayejidai wa "mujini" kama wewe ambayo to me ni bongeee la mshamba and I wonder what sort of school u went.Mujini = Mjini
Boresha Kiingereza chako hicho, btw i don't argue with hatemongering
Nimeandika hivyo kwa makusudi kabisa ili kutofautisha wa mjini na Yule anayejidai wa "mujini" kama wewe ambayo to me ni bongeee la mshamba and I wonder what sort of school u went.Mujini = Mjini
Boresha Kiingereza chako hicho, btw i don't argue with hatemongering
Kila mtu anajua kutukana, naweza kukutukania hadi wasio kuwepo hapa sijui utapata faida gani? Jadili bila matusi.Acha upuuzi na zamani ilikuwaje
Wewe Bongee la mshamba unayejiita wa "mujini" unatofauti gani na wale mashabiki wa Bulgaria, au kutokana na uuuuushamba wako hata hujuwi current situation of the world? ?? Kiasi kwamba hata Rashford anauelewa mkubwa kuliko wewe.Ushamba?? Hivi mimi na wewe nani anaweza kuwa mshamba?
Poor you
Stupid na ignorant people are all over the world, hence being in hawaii does not preclude you , to be one of them .Hujui Kiingereza tafadhali tumia kiswahili na hata kiswahili pia kinakupa tabu uandishi wake!
Mimi mshamba naishi Hawaii wewe mjanja una nini?
I am trying to get u out of stupidness or ignorance , as the case may be, so at least u could help others u like u now.Quotations nyingi nyingi ni inshara ya kutojiamini get lost hatemongering