NECTA yatangaza matokeo ya Darasa la Saba 2019. Ufaulu waongezeka kwa asilimia 3.78

NECTA yatangaza matokeo ya Darasa la Saba 2019. Ufaulu waongezeka kwa asilimia 3.78

Hivi inamaana humu hakuna walimu wanaoweza kutupatia maelezo kuhusu ufaulu wa mwanafunzi awe na credit ngapi ili afaulu.
 
Hongera sana luv Mungu mwema
Nina furaha mnoo leo, yaani sijui nisemeje hakika Mungu ni mwema hakuacha kusikiliza kilio changu, mwanang kafaulu vzr pamoja na changamoto nyingi mnoo nilizopitia juu yake,yaani nimejikuta nalia hakika Mungu hajawahi kutosikiliza maombi ya watoto wake
 
GENTAMYCINE tatoo naona Mkoa wa Mara unarudi kwenye zama zake.

Ukizaliwa tu Mkoani Mara ( Musoma ) piga ua Wewe ni ' Genius ' tu kwani ndiyo Mkoa unaoongoza kutoa ' Vipanga / Werevu ' watupu si tu nchini Tanzania bali duniani kote. Ni Mkoa ambao umebarikiwa kuwa na Watu ' Makini ' kuliko mingine yote halafu pia ni Mkoa wenye Watu ambao ' naturally ' tu ni ' Academicians ' na ' Intellectuals ' wa Kutukuka.

Huu ukweli hata hawa Washamba ( Mambwiga ) wa hii Mikoa tajwa hapa chini na Makabila yake wanaujua kabisa Mkuu....

Kagera ( Wahaya )
Singida ( Wanyaturu na Wanyiramba )
Kigoma ( Waha )
Dodoma ( Warangi )
Mwanza Kisiwani Ukerewe ( Wakara )

Duniani kote ' Washindani ' wakubwa ' Kiakili ' kwa Watu wa Mkoa wa Mara ( Musoma ) ni Wanyarwanda wa Kabila la ' Watutsi ' kisha Wayahudi ( Waisraeli ) na Warusi pekee basi. Na hata Majina tu ya Mkoa husika kama ya Mara na Musoma yamekaa Kitaaluma zaidi na ndiyo maana huko hakuna Ngumbaru ( Mjinga ) au Popoma ( Mpuuzi / Mpumbavu )
 
Nina furaha mnoo leo, yaani sijui nisemeje hakika Mungu ni mwema hakuacha kusikiliza kilio changu, mwanang kafaulu vzr pamoja na changamoto nyingi mnoo nilizopitia juu yake,yaani nimejikuta nalia hakika Mungu hajawahi kutosikiliza maombi ya watoto wake
Hongera sana Dada , inaleta faraja mwanao anapofanya vzr katk mtihan, msimamie vzr ktk elimu yake huko secondary afike mbali zaidi.
 
Wanafunzi kumi bora wote kanda ya ziwa

Shule kumi bora zote kutoka kanda ya ziwa

Mikoa ya kanda ya ziwa imeingia top ten

Wale wa kule milimani vipi naona mnapotea kwenye ramani

Chanzo mwananchi
Screenshot_2019-10-15-14-38-31.jpeg

Hapa pia
 
Shule kumi Bora zote zimetoka kanda ya ziwa.View attachment 1234061
Unasikia bingwa, hayo matokeo hasa hiyo shule namba 1 kwa maoni yangu kuna sarakasi.
wawachukue hao watoto wote leo wawape mtihani mwingine utaona ukweli, mtihani utungwe na kufungiwa ndani pamoja na watunzi hadi siku wanapofanya watahiniwa.

Kanda ya ziwa kuna vurugu sana ya udanganyifu iwe kurudia mitihani kwa jina jingine n.k.
 
Huo mtihani ulitungwa huko kanda ya ziwa! Yaani ni Graiyaki sijui, Mara, Shinyanga, Geita, Kagera! Lengo ni kumfurahisha baba mwenye nyumba au?
 
Wanafunzi kumi bora wote kanda ya ziwa

Shule kumi bora zote kutoka kanda ya ziwa

Mikoa ya kanda ya ziwa imeingia top ten

Wale wa kule milimani vipi naona mnapotea kwenye ramani

Chanzo mwananchiView attachment 1234189
Hapa pia
Wewe kweli haunazo
Mkoa wa kilimanjaro umekuwa wa 6 kitaifa
Pili matokeo ya form four kila mwaka kilimanjaro inakuwaga ya Kwanza lakin tupo kimya sembuse ya la Saba? Acha ushamba mkuu
 
Naona necta wameyafungulia sasa bhandugu hapa sielewi kitu nimeona ndugu yangu masomo 3 kapata C mawili kapata D na ana wastani wa C hapa kafaulu au ndo aanze kulima mpunga?
duh wadau hili swali langu limekosa kabisa majibu!!
 
Back
Top Bottom