Raia mdogo
JF-Expert Member
- Jan 5, 2018
- 1,387
- 1,518
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] aiseeee sijui anaanzaje kukosa!Hapo lazima watusue yani mtihani full machagulio ebu fikilia mtoto anapewa swali hili
Raisi wa kwanza wa tanganyika alikua ni nyere_______
A: ra
B: re
C: ri
D: ro