Raia mdogo
JF-Expert Member
- Jan 5, 2018
- 1,387
- 1,518
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] aiseeee sijui anaanzaje kukosa!Hapo lazima watusue yani mtihani full machagulio ebu fikilia mtoto anapewa swali hili
Raisi wa kwanza wa tanganyika alikua ni nyere_______
A: ra
B: re
C: ri
D: ro
Namba tatu Twibhoki primary mkoa Wa Mara Wilaya ya Serengeti10 BORA NA KUMI ZA MWISHO?
naogopa kuangaliaukifaulu nakupa zawadi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo lazima watusue yani mtihani full machagulio ebu fikilia mtoto anapewa swali hili
Raisi wa kwanza wa tanganyika alikua ni nyere_______
A: ra
B: re
C: ri
D: ro
hutaki zawadinaogopa kuangalia
tuashum nimefaulu nipe basi bebehutaki zawadi
umepata, ngoja nifikirie zawadi ya kukupatuashum nimefaulu nipe basi bebe
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hapo lazima watusue yani mtihani full machagulio ebu fikilia mtoto anapewa swali hili
Raisi wa kwanza wa tanganyika alikua ni nyere_______
A: ra
B: re
C: ri
D: ro
Namba 4 kwema modern namba 5 Rocken hill academy zote ni za kahamaNamba tatu Twibhoki primary mkoa Wa Mara Wilaya ya Serengeti
Namba 1 na 2 ni zipi... Halafu kama hutojali weka top ten ya wanafunziNamba 4 kwema modern namba 5 Rocken hill academy zote ni za kahama