THE BEEKEEPER
JF-Expert Member
- Feb 23, 2024
- 1,462
- 7,157
Wapenzi watazamaji wa ukurasa wa NECTA Tiyali muda mchache kwa watu kupata mchecheto kundi la kwanza ni
1.Waalimu hasa wa private😂
2.Wazazi hawa wana hofu kuliko watoto waliofanya
3.Wanafunzi wenyewe wengine hawana habari na wanayajua matokeo yao kabisa hata hawajichoshi😂
Mzazi unayesoma ujumbe huu baada ya matokeo usimkatie tamaa kijana wako aliyepata Division four bali mtie moyo ya kwamba anaweza kujaribu nafasi nyingine katika vyuo vya ufundi
Ewe kijana uliyefanya mtihani bila shaka unayafahamu matokeo yako mpaka sasa lakini tu hujui ni Division four ya ngapi utapata,Basi nawewe usikate tamaa lipo tumaini jipya hata baada ya matokeo
Ukiona unatatizika na matokeo na hujui ufanye nini
Hujui usomee nini basi ondoa shaka
Nitumie ujumbe tusaidizane
Kwa pamoja tunajenga taifa letu
Vijana ni nguvu kazi
Vijana ni taifa la Kesho tuwalinde
Tusiwakatishe tamaa wanapojikwaa tuwafundishe kwani umri wao ni wakujifunza