NECTA yatangaza Matokeo ya Kidato cha Nne kwa mwaka 2017. Ufaulu waongezeka kwa 7.22%

 
Kama kichwa cha Habar kinavojielezea hatimaye matokeo ya vijana wetu yametoka asanteni wizara husika
 
Msaada:Ikiwa mtu kapata Division III ya 23 alikuwa anasoma Science ( Mvulana) amebalansisha CBG ie Chemistry, Biology and Geography. Je anaweza kuchaguliwa Kwenda shule ya Serikali?
Kama amefaulu math bila shaka, ila ukifel math science na uchumi au tahausi zenye BAM huwezi kuchaguliwa kwa gov't schools
 
safi sana ngoja niangalie kwanza mwanangu amekujaje ktk miaka yake 4 ili nianze tambo au nitulie kimoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…