NECTA yatangaza Matokeo ya Kidato cha Nne kwa mwaka 2017. Ufaulu waongezeka kwa 7.22%

NECTA yatangaza Matokeo ya Kidato cha Nne kwa mwaka 2017. Ufaulu waongezeka kwa 7.22%

Jamaa umesoma pale
Naomba details tafadhali kama inawezekana,
Japokuwa tunapambana kupata nafasi inakuwa ngumu.
Mkuu nafasi pale zipo kibao kikubwa kuwahi watu,nimesoma pale na marafiki zangu kibao wako pale wanapiga buku
 
Kuna ' Videmu ' fulani viwili Kimoja cha Jangwani na Kingine cha Zanaki vilininyima ' Mbunye ' zao huku vikijifanya vipo busy na Masomo na mara nyingi walikuwa wakiniambia hawawezi kuchanganya Mapenzi na Elimu na ' Vimefeli ' kwa Division Four vyote. Asante NECTA na sasa kwakuwa nakaa nao jirani tu nawatafutia Nyimbo mbili moja ya Twanga Pepeta usemao ' Roho Mbaya Haijengi ' na mwingine wa Taarab wa Khadija Kopa usemao ' Kama hamna hamna tu ' na nitaipiga hadi usiku wa manane huku nikiweka Sauti ya mwisho kabisa Kudadadeki. Yaani watanikoma hakyanani!
Haa haa haa aiseee dhaaaa
Kweli ukimwaga ugali namwaga
mboga
 
Watanikoma kwa nyimbo za Mafumbo labda wahame Mtaa. Kipele kimepata Mkunaji!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
mara nyingi wanaopenda kujisifia hakunaga kitu ww huwezi nisumbua
Nyuma ya keyboard waweza andika chochote, unaweza fikiri chochote na kuhisi chochote....

Sina muda wa kupoteza...


Moja Takatifu Katoliki la Mitume
 
Back
Top Bottom