NECTA yatangaza Matokeo ya Kidato cha Nne kwa mwaka 2017. Ufaulu waongezeka kwa 7.22%

Nyuma ya keyboard waweza andika chochote, unaweza fikiri chochote na kuhisi chochote....

Sina muda wa kupoteza...

Moja Takatifu Katoliki la Mitume
sasa ww labda unafikilia ww nani hasa haya mambo ya kupigana mikwala humu tungeonana tungekimbiana
 
Kwenye Ranking shule iyenye watahiniwa 42 inamshindaje mwenye wanafunzi 135.Idada ya wanafunzi inaangaliwa kwenye kurank?Shule Fulani Fulani zinachuja wanafunzi halafu za kata zinawabeba na kuwakuza watoto wote wakiwemo na wa hali ya chini halafu tunazi rank kwa pamoja.Totally crazy
 
maelekezo kidogo mkuu.. kwa njia hiyo tunaangaliaje? maana kwa website ya necta huku naona majanga tu kitu ina load mwaka.
Ni app iko playstore inaitwa thl, unagusa tu matokeo yanakuja
 
mudi uko wako uje ulalamike kwanini shule za katoliki ndo zinaongoza.watoto wenu vilaz.a kutwa kupiga midufu hamtaki shule mapovu tu.zanzibar kazi kula urojo tu
 
MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) na (QT) 2017 Yameshatoka. Angalia ndani ya tHL app yanafunguka faster. Jinsi ya ku-install tHL app
1.Kwa simu Online version Nenda play store/window store SERACH tHL kisha install. tHL 2.0 Revised edition - Android Apps on Google Play 2. Kwa computer download hapa tHL app ina Scholarships, Notes form I - VI na Ukurasa wa Jamii wenye makala zinazoeleza namna ya kuachana na Msongo wa mawazo na maelezo ya kuinstall kwenye computer haya hapa instructions .
 
maelekezo kidogo mkuu.. kwa njia hiyo tunaangaliaje? maana kwa website ya necta huku naona majanga tu kitu ina load mwaka.
MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) na (QT) 2017 Yameshatoka. Angalia ndani ya tHL app yanafunguka faster. Jinsi ya ku-install tHL app
1.Kwa simu Online version Nenda play store/window store SERACH tHL kisha install. tHL 2.0 Revised edition - Android Apps on Google Play 2. Kwa computer download hapa tHL app ina Scholarships, Notes form I - VI na Ukurasa wa Jamii wenye makala zinazoeleza namna ya kuachana na Msongo wa mawazo na maelezo ya kuinstall kwenye computer haya hapa instructions .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…