NECTA yatangaza Matokeo ya Kidato cha Nne kwa mwaka 2017. Ufaulu waongezeka kwa 7.22%

2b6cc45ec534dcd73450923caf37f931.jpg
 
Huu ni ubabaishaji,unajuaje yako tayari?Kama unafanya kazi baraza kwa nini huna subira na usiri?Kuna sababu gani ya kusimamisha kazi za watu kwa kuleta mjadala kama huu sasa?
 
Ingia web site ya Necta wameweka tangazo kwamba punde mambo yatakuwa hadharani
 
Inatupa taabu saana kupata matokeo ya ndugu zetu walio mbali
Privacy iwe kwa watu wazima kuanzia A Level na chuo O level na
Primary wayaanike tu.
kwani hawawezi kukutumia namba??kama unajua ndugu yako yupo O level lazima utajua namba yake ili umuangalizie nyie ndo wambea wenyewe
 
Huu ni ubabaishaji,unajuaje yako tayari?Kama unafanya kazi baraza kwa nini huna subira na usiri?Kuna sababu gani ya kusimamisha kazi za watu kwa kuleta mjadala kama huu sasa?
Ingia web site ya Necta wameweka tangazo kwamba punde mambo yatakuwa hadharani
 
kwani hawawezi kukutumia namba??kama unajua ndugu yako yupo O level lazima utajua namba yake ili umuangalizie nyie ndo wambea wenyewe
Ha ha ha ha Acha woga dogo inaonesha nyie ndo
mnaoweza kufa kwa hofu ya matokeo chukulia ni
jambo la kawaida tu.
 
ndugu yangu wewe ni jf member toka 2011 mimi ni jf member toka 2012 unanikashifu kwa kuniita dogo.
na sisubirii haya matokeo yao,mimi nishamaliza kitambo hukooo
 
Back
Top Bottom