NECTA yatangaza Matokeo ya Kidato cha Nne kwa mwaka 2017. Ufaulu waongezeka kwa 7.22%

NECTA yatangaza Matokeo ya Kidato cha Nne kwa mwaka 2017. Ufaulu waongezeka kwa 7.22%

Kama kawaida upuuzi wa website za serikali..
Necta.go.tz haifunguki.
Lini watanunua server za maana zinazoweza kuaccomodate visitors qengi??
 
Nakumbuka kuna namna iliwekwa hapa ambayo inaonyesha namna ya kuangalia matokeo fasta kwenye website ya Necta kwa ambae anakumbuka tunaomba atukumbushe
 
Kwahiyo Hii website ndio wameshindwa kuiboresha kabisa yani kila wakitoa matoke lazima sever izingue.
 
Naombeni msaada mniangalizie ya kwangu namba S.0216/0028 nimebanwa choo siwezi hata kuangalia. Msaada please
 
Shule Kumi (10) Za Mwisho Kitaifa
1. Kusini – Kusini Unguja
2. Pwani Mchangani – Kaskazini Unguja
3. Mwenge SMZ – Mjini Magharibi
4. Langoni – Mjini Magharibi
5. Furaha – Dar
6. Mbesa – Ruvuma
7. Kabugaro – Geita
8. Chokocho- Kusini Pemba
9. Nyeburu – Dar
10. Mtule – Kusini Unguja
 
Back
Top Bottom