NECTA yatangaza Matokeo ya Kidato cha Nne kwa mwaka 2017. Ufaulu waongezeka kwa 7.22%

NECTA yatangaza Matokeo ya Kidato cha Nne kwa mwaka 2017. Ufaulu waongezeka kwa 7.22%

Hili ni swala la kukomalia ili necta walibadilishe. Hii kitu ilianza pale mtoto wa mkubwa Fulani alipomaliza feza girls akapata div iv peke yake darasa zima walifaulu zaidi ikaandikwa sana kwn media, kuanzia hapo mambo yakaharibika. Kwa kifupi huu mtindo unawafanya wale watoto tunaosomesha kutudanganya sana! Mimi nshawah kudanganywa na dogo mmoja niliyekuwa namsomesha kuwa ana div ii kumbe ana iv

Si ungemuomba result slip ?Au nayo alileta feki?
 
S0387/089 karagwe secondary, naomb mniangalizie huyu wadau ameshkwa na tumbo la kuhara ghafla tangu mchana
S0387/0089 M 18 II CIV - 'C' HIST - 'C' GEO - 'B' KISW - 'C' ENGL - 'A' PHY - 'C' CHEM - 'C' BIO - 'C' AGRI - 'D' B/MATH - 'C'

He can see for himself by sending MATOKEO*F4*2017*S0387*0089 to 0759350150
 
Kuna ' Videmu ' fulani viwili Kimoja cha Jangwani na Kingine cha Zanaki vilininyima ' Mbunye ' zao huku vikijifanya vipo busy na Masomo na mara nyingi walikuwa wakiniambia hawawezi kuchanganya Mapenzi na Elimu na ' Vimefeli ' kwa Division Four vyote. Asante NECTA na sasa kwakuwa nakaa nao jirani tu nawatafutia Nyimbo mbili moja ya Twanga Pepeta usemao ' Roho Mbaya Haijengi ' na mwingine wa Taarab wa Khadija Kopa usemao ' Kama hamna hamna tu ' na nitaipiga hadi usiku wa manane huku nikiweka Sauti ya mwisho kabisa Kudadadeki. Yaani watanikoma hakyanani!
Unataka kufungwa wewe.
 
Kunawakati ujinga kujifariji nao haipendezi kawaida hata kama muwe wajinga kumi lazima tupate wa mwisho na wa kwanza.Haimaanisha kuwa wa kwanza kwenye kundi la wajinga basi itafuta dhana ya ujinga wako....

Kuniambia kuwa ufaulu umeongezeka kwa asilimia 7.2% ilihali shule zilizofanya ufaulu upande ni shule za binafsi huu nao ni ujinga.Hatuwezi kujisifia kwa ufaulu kuongezeka ili hali kumi wa mwisho wote ni shule za serikali mbali na hilo hata kwenye kumibora hakuna hata shule moja ya serikali huu ni upuuzi.....

Hivi ziko wapi shule kama azania,kibasila,jangwani,tabora,pugu,kibaha na nyengine ambazo tulizifahamu kama shule za vipaji maalumu zote zimefanana kama shule za kata za kawaida.Hivi unaanzaje kujisifia ufaulu ilihali robo tatu ya shule wamepata ziro tena kwa shule zaidi ya moja na wewe unaenda kujificha ndani ya 7.2%!!!!!?.....

Hivi leo hii msonde kutufanya sisi watoto kuongoza iongoze feza na st fransic ujisifu ufaulu umeongezeka.Hebu kaeni chini angalieni wapi mlikosea elimu haitaki siasa,elimu haitaji vyeti vyako vya master na degree,elimu haitaji uzoefu,elimu inataka welidi na usahihi wa maamuzi yake......

Mmetuletea mitihani ya kushade darasa la saba tangu wakati huo mpaka leo shule za serikali hazina maana tena.Mmekuwa mkiangalia WINGI na siyo UBORA na hapa shule binafsi ndipo zinapo tushinda kila siku.wenzetu hata uwe wa kwanza katika shule yako ya serikali ukifika kwao kujiunga lazima wakupime tena kwa mtihani wao....

Mie najua ukianzia katibu mkuu NECTA na watendaji wengine ndani ya idara ya elimu hakuna hata mmoja anasoma shule ya uma ndiyo maana wala hayawaumi matokeo haya bali anaeumia ni yule mtanzania asiyeweza kutoa mamilioni katika shule zenye ELIMU BORA baadala yake anajikuta anawapeleka katika shule za BORA ELIMU mtoto akue basi....

Kaaeni mtafakari matokeo ya kidato cha nne kwa shule za uma siyo mazuri hata kidogo ila kama mtataka kudanganya toto endeleeni kulinganisha gari na baskeli halafu mseme vyote sawa kwa kuwa vinatumika kama usafiri ila NCHI NI YETU WAJINGA NI WETU HATUMKOMOI MTU BALI TUNAJIUMIZA WENYEWE.....
 
Kwa akili yako, kuongezeka kwa ufaulu ni shule za serikali kushinda za binafsi???

Je, hao watoto wa shule za private ni ni wakenya, wanyarwanda au waganda??

Kwabi kuongoza kwa shule za private kuna ubaya gani??? Nenda miaka miwili iliyopita mbona zilionekana shule za serikali..!

Sasa naamini kweli kila mtu siyo anatakiwa kuwa mtakwimu, kuongezeka kwa ufaulu tunaangalia vitu kama:-

Mosi matokeo yaliyotangulia miaka ya nyuma.

Kiwango cha ufaulu katika madaraja.

Wastani wa ufaulu wa mtoto mmoja mmoja.

Vipo pia vigezo vya kiakademia/kitaalum juu ya understanding na efficiency ya watahiniwa katika kujieleza kwenye mitihani.

Pia tunaangalia ufaulu kwa kila somo hasa yale masomo korofi kwa mfano masomo yz sayansi.

Ukijenga hoja, usipotumia vihlgezo utapotosha.
 
naomba mniangalizie matokeo ya Paji Sekondari

hayo hapo

paji.PNG
 
Habar za mchana wakuu naandika uzi huu kwa uchungu kikhbwa ni kutaka kujua nn sababu ya baadh ya shule kufutiwa matokeo ya kidato cha nne yalotangaxwa jana
b306252783a28b1d7886084d5d4d5105.jpg
msaada wenu kwa anaejua wakuu sababu ni ip.
Duuuh... Very sad kwa kweli [emoji17] [emoji17]
 
Mwaka huu dv 4 Na 0 Ni nyingi alafu kuna uhaba mkubwa wa dvsn 1.Nimefanya uchunguzi kua ongezeko la ufaulu limebase kwa kua na 4 nyingi.Ifahamike kua kwa serikali ukipata 4 umefaulu.
 
Back
Top Bottom