NECTA yatangaza matokeo ya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi kwa mwaka 2017. Shule kanda ya Ziwa zang'aa

NECTA yatangaza matokeo ya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi kwa mwaka 2017. Shule kanda ya Ziwa zang'aa

wamewahisha sana wangesubiri wanunuliwe hata nguo za Xmas jaman
 
MSAAD JAMN KIWANGO CHA CHINI CHA UFAULU KWENDA SEKONDAR NI WASTAN WA NGAP MAANA KUNA DOGO ANA WASTANI WA C
Ufaulu wa kuchaguliwa kwenda Secondary unanzia wastani wa Daraja gani D au C?
 
Wadau hii ni kwa mujibu wa matokeo ya mtihani wa darasa la saba yalitangazwa leo na Baraza la Mitihani la Taifa.
Kanda ya Ziwa kunakopatikana Rasilimali nyingi ikiwemo Sato ,Sangara,Dhahabu,Almasi,Pamba, Ngomb'e,Rasilimali Watu n.k imeongoza kwa kutoa Shule 6 kati ya Shule 10 zilizoongoza matokeo hayo Kitaifa.
Aidha Mkoa wa Kagera Pekee Umetoa Shule 4 katika Shule hizo.
Karibuni.
 
Mbona haifunguki kwangu nimejaribu kufungulia kwa website mbalimbali yamegoma
 
Back
Top Bottom