NECTA yatangaza matokeo ya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi kwa mwaka 2017. Shule kanda ya Ziwa zang'aa

NECTA yatangaza matokeo ya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi kwa mwaka 2017. Shule kanda ya Ziwa zang'aa

Mikoa iliyofanya vibaya kwa mujibu wa necta ni mikoa ya Singida, Tanga, Tabora, Songwe, Lindi, Manyara

Na ile iliyoongoza kwa kutusua kwenye mtihani huo ni Dar es Salaam, Kilimanjaro, Arusha, Mwanza, Kagera,Geita,Njombe,Iringa,na Katavi
 
Tunasubiri hapo January maajabu mengine. Wamefaulu na kuchaguliea kuendelea na sekondari ili halo hawawezi kusoma na kuandika.
Kuzungushia duara na mbinu chafu wa waalimu wa primary, oye!!!
 
Hao wasichana bora kumi kitaifa kutoka sir john heshima kwao....wako 7/10
 
Back
Top Bottom