NECTA yatangaza matokeo ya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi kwa mwaka 2017. Shule kanda ya Ziwa zang'aa

Naona mkoa wangu Kagera

Unazidi kuwapeleka kindakindaki
Kwa kutoa shule 4 over 10

Hongera sana wadogo zangu na mkazidi kuikazi slogan yetu..[emoji137]
 
Huu mkoa kwa elimu naukubali Mara nyingi huwa wanafanya vizuri. Hongera Kagera.
 
Husika na kichwa hapo juu Mr Charles Msonde atangaza matokeo rasmi ya darasa la saba kama asa,ufaulu umeongezeka kwa asilimia 2.48,,hongereni wanetu kwa kazi nzuri japo naelewa fika hampo hapa JF ila Dada,kaka,Mjomba,shangazi jiran na hasa zaidi baba na mama zenu wameona hili.



Bila kusahau elimu bure lakin hatuajiri waalimu,kwa uchochezi zaidi muende tuition mtatueleza mmepata wapi hiyo fee.
 
Hayafunguki
 
Kila mwaka ufauru unaongezeka tuu.
 
Ni habari njema kama ufaulu umepanda
 
Ufaulu ukipanda na daraja la kuchaguliwa kwenda secondary pia linaongezeka
 
Nakukubali sana mkuu
Unaonekana una listening skills ya hali ya juu
Coz huna maneno mengi unasoma ,unagain unakoment shortly
Ts ur unique broo
Yeah na kama kuna jambo linalohitaji maelezo madogo kidogo huwa nafunguka zaidi sio kila siku natoa short comments...
 
Kila mwaka ufauru unaongezeka tuu.
Kwa kweli hapa kutakuwa na kamchezo kachafu. Maana toka ufaulu uanze kuongezeka na kwa range hiyo ya ongezeko, ningetarajia mpaka sasa niwe nasikia waliofaulu ni 100 %.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…