NECTA yatangaza upya Matokeo ya Kidato cha Nne 2012

NECTA yatangaza upya Matokeo ya Kidato cha Nne 2012

Watoto wanaosoma siku hizi wana tabu sana maana hawana uhakika na wanachokofanya tofauti na tuliosoma sek miaka 10 iliyopita tuliamini na kuwa na uhakika wa kuperform vzr
 
Matokeo yameshatoka nenda NECTA kuna link 4 zinaonesha matokeo hayo. Hakuna mabadiliko makubwa sana!!! Kwa hiyo habari ni kama kawaida tu. Poleni sana waliotegemea kufaulu zile F nyingi zimebaki vile vile tu. Wa ndugu yangu katoka Dv 4 ya 32 to Div 4 ya 31!!! What a waste. Kama hakusoma kwa ajili ya Private Candidate imekulwa kwake!! Poor him!
 
quote_icon.png
By Abu123
Dha mmmhhh wa2 walixema mara j3 wengine j5 mmhhh labda we wa alhamic ngoja 2cubiri...
Kwa kiswahili hiki....sishangai ZOMBI amekataa kuvaa viatu

Reflection ya matokeo imedhihirisha hicho alicho andika hapo juu. Five French Fathers Fighting For Food For Four years ZIMEBAKI PALE PALE
 
kuna utofauti mkuu,
mtu alikuwa na ponti 34,
na sasa kapata 33,
ni nafuu, ana cheti huyo. mwenye 34 hana.

Mkuu naona wameongeza moja tu maana kuna alikuwa na 32 sasa ni 31. Hivi kumbe naye atapata cheti wa 31? Sasa cheti hizi cha point 31 kinapokelewa chuo kipi Tanzania? Maana ualimu nasikia mwisho ni point 28 kama si 27? Tutawapeleka wapi hawa kuanzia 29 na hadi Zero? Kazi tunayo tunaosomesha hawa extended family na nina imani hawasomi kwa bidii, ni usharobaro kama vile wazazi ndiyo wanalipa ada. Wanaudhi sana hawa.
 
Matokeo mapya yatoka tofauti na mategemeo ya matarajio ya watu wengi,mabadiliko ni kidogo sana.
 
tehhhh
haya mkuu, sasa 33 anaenda wapi mkuu.. Bado ni mzigo tu kwa familia....

Pamoja
braza, 33 ana academic certificate!
34 ana leaving certificate.
Sijui na wewe kama ulisomaga yale mashairi sijui za Shaaban Robert!!? Yalikuwa yakitumika kwenye Kiswahili O'level miaka hiyo...
...kuna shairi inaenda kwa jina... "CHETI"
 
Sasa cheti hizi cha point 31 kinapokelewa chuo kipi Tanzania? Maana ualimu nasikia mwisho ni point 28 kama si 27? Tutawapeleka wapi hawa kuanzia 29 na hadi Zero?
Hii Tanzania bana we vipi?
Hakishindikani bongo?
Usishangae huyo akaja kuwa "Dokta" one day na akaokoa maisha yako, au mwanao!
 
Asilimia 57 wana 0...meaning imepungua asilimia 3 tuuuu....zero pale palee
 
Hii Tanzania bana we vipi?
Hakishindikani bongo?
Usishangae huyo akaja kuwa "Dokta" one day na akaokoa maisha yako, au mwanao!

Mkuu Sigma, michongo bado ipo tena Mkuu? Si ninasikia wameweka security marks za kufa mtu? Ila hakika hizi ofisi za kwenye briefcase mujini hazishindwi lolote!!! Ila si usalama wa nchi uko haya matukio ya kugushi yanatoka wapi tena? Tanzania bana.
 
Mkuu Sigma, michongo bado ipo tena Mkuu? Si ninasikia wameweka security marks za kufa mtu? Ila hakika hizi ofisi za kwenye briefcase mujini hazishindwi lolote!!! Ila si usalama wa nchi uko haya matukio ya kugushi yanatoka wapi tena? Tanzania bana.
hao wako bize na chadema na kung'oa meno na kucha yeyote anaeleta fyoko.
Kama wa kwako hata excel na foo yake wa mwenzio atang'ara na ziro yake.
 
There are currently 8425 users browsing this thread. (246 members and 8179 guests)
Duh!
Hawa wote wanafanya nini hapa?
 
hao wako bize na chadema na kung'oa meno na kucha yeyote anaeleta fyoko.
Kama wa kwako hata excel na foo yake wa mwenzio atang'ara na ziro yake.

Ha ha ha!! Nimekutapa mkuu, kuwahi si kufika. Tanzania kila jambo linawezekana.Ngoja sasa nijipange nijue atasoma wapi? Hivi vyuo vya polisi wanachukua 4 ya ngapi? Bora aende huko ila itabidi nimpe mawaidha asijekuwa wa kufanya kazi bila ganzi.
 
Duh!
Hawa wote wanafanya nini hapa?

Wamefikia "There are currently 8595 users browsing this thread. (249 members and 8346 guests)". Kwani hujui JF ni source ya hot news tena reliable source?
 
Ha ha ha!! Nimekutapa mkuu, kuwahi si kufika. Tanzania kila jambo linawezekana.Ngoja sasa nijipange nijue atasoma wapi? Hivi vyuo vya polisi wanachukua 4 ya ngapi? Bora aende huko ila itabidi nimpe mawaidha asijekuwa wa kufanya kazi bila ganzi.
Naona hujanipata.
hilo swali reveals.
But jipange kama ulivoamua.
Tanzania kuna shule nyingi, na vyuo vingi tu.
Umma na binafsi.
Hebu tulia kwanza, utapata jibu.
Na pole kwa dogo kuambulia walau foo.
 
Wangu katoka 33 mpaka 30, huu n zaidi ya upu.pu! Hakuna kilichobadilika! Hii nchi ni ya kusadikika nimeamini kuanzia leo, nimpeleke wapi? Ana D 5, ya Phy, chem, kisw, math na engl. Ushauri tafadhari
 
How do you rate level of education in Tanzania (kutoka website ya wizara ya Elimu)
[TABLE="class: pollstableborder, width: 731"]
[TR="class: sectiontableentry1"]
[/TR]
[TR="class: sectiontableentry0"]
[TD="colspan: 3"]
Worse[/TD]
[/TR]
[TR="class: sectiontableentry0"]
[TD="width: 25, align: right"]2870[/TD]
[TD="width: 30"]40.8%[/TD]
[TD="width: 300"][/TD]
[/TR]
[TR="class: sectiontableentry1"]
[TD="width: 100%, bgcolor: #F8F8F7, colspan: 3"]Not Fair[/TD]
[/TR]
[TR="class: sectiontableentry1"]
[TD="width: 25, bgcolor: #F8F8F7, align: right"]2461[/TD]
[TD="width: 30, bgcolor: #F8F8F7"]35%[/TD]
[TD="width: 300, bgcolor: #F8F8F7"][/TD]
[/TR]
[TR="class: sectiontableentry0"]
[TD="width: 100%, colspan: 3"]Good[/TD]
[/TR]
[TR="class: sectiontableentry0"]
[TD="width: 25, align: right"]1010[/TD]
[TD="width: 30"]14.4%[/TD]
[TD="width: 300"][/TD]
[/TR]
[TR="class: sectiontableentry1"]
[TD="width: 100%, bgcolor: #F8F8F7, colspan: 3"]Excellent[/TD]
[/TR]
[TR="class: sectiontableentry1"]
[TD="width: 25, bgcolor: #F8F8F7, align: right"]268[/TD]
[TD="width: 30, bgcolor: #F8F8F7"]3.8%[/TD]
[TD="width: 300, bgcolor: #F8F8F7"][/TD]
[/TR]
[TR="class: sectiontableentry0"]
[TD="width: 100%, colspan: 3"]I don't know[/TD]
[/TR]
[TR="class: sectiontableentry0"]
[TD="width: 25, align: right"]241[/TD]
[TD="width: 30"]3.4%[/TD]
[TD="width: 300"][/TD]
[/TR]
[TR="class: sectiontableentry1"]
[TD="width: 100%, bgcolor: #F8F8F7, colspan: 3"]Very Good[/TD]
[/TR]
[TR="class: sectiontableentry1"]
[TD="width: 25, bgcolor: #F8F8F7, align: right"]178[/TD]
[TD="width: 30, bgcolor: #F8F8F7"]2.5%[/TD]
[TD="width: 300, bgcolor: #F8F8F7"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Nikweli wenye bahati yao yamebadilika kidogo kwa baadhi ya wanafunzi. Shem yangu alkuwa na four ya 29 yamebadilishwa na kuwa four ya 26. ana C tatu ambazo zinamwezesha kufanya A-level kwenye shule za private.
 
serikali iliyovaa miwani ya mbao kamwe aitaki kukosolewa ndio maana ikiambiwa mfumo wa elimu ni mbaya aikubali, inajidanganya kwa kuwapa wanafunzi division za kwenye makaratasi. je, tutafika.......?:shock:
 
Back
Top Bottom