Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kiswahili hiki....sishangai ZOMBI amekataa kuvaa viatu
kuna utofauti mkuu,
mtu alikuwa na ponti 34,
na sasa kapata 33,
ni nafuu, ana cheti huyo. mwenye 34 hana.
braza, 33 ana academic certificate!tehhhh
haya mkuu, sasa 33 anaenda wapi mkuu.. Bado ni mzigo tu kwa familia....
Pamoja
Hii Tanzania bana we vipi?Sasa cheti hizi cha point 31 kinapokelewa chuo kipi Tanzania? Maana ualimu nasikia mwisho ni point 28 kama si 27? Tutawapeleka wapi hawa kuanzia 29 na hadi Zero?
Hii Tanzania bana we vipi?
Hakishindikani bongo?
Usishangae huyo akaja kuwa "Dokta" one day na akaokoa maisha yako, au mwanao!
hao wako bize na chadema na kung'oa meno na kucha yeyote anaeleta fyoko.Mkuu Sigma, michongo bado ipo tena Mkuu? Si ninasikia wameweka security marks za kufa mtu? Ila hakika hizi ofisi za kwenye briefcase mujini hazishindwi lolote!!! Ila si usalama wa nchi uko haya matukio ya kugushi yanatoka wapi tena? Tanzania bana.
Duh!There are currently 8425 users browsing this thread. (246 members and 8179 guests)
hao wako bize na chadema na kung'oa meno na kucha yeyote anaeleta fyoko.
Kama wa kwako hata excel na foo yake wa mwenzio atang'ara na ziro yake.
Duh!
Hawa wote wanafanya nini hapa?
Naona hujanipata.Ha ha ha!! Nimekutapa mkuu, kuwahi si kufika. Tanzania kila jambo linawezekana.Ngoja sasa nijipange nijue atasoma wapi? Hivi vyuo vya polisi wanachukua 4 ya ngapi? Bora aende huko ila itabidi nimpe mawaidha asijekuwa wa kufanya kazi bila ganzi.
akili.......muUshauri tafadhari