DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
Katibu Mtendaji wa NECTA, Dkt. Said Mohammed, ameeleza kuwa maandalizi yote muhimu yamekamilika, na kuwasisitiza watahiniwa kufanya mitihani kwa weledi huku wakijiepusha na udanganyifu wa aina yoyote.