VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,137
- 17,908
Je kama ulikuwa na Div. 0, utapata ngapi?????? Kwa kashfa hii, nashauri NECTA wasahihishe mitihani yote upya kwa gharama zao!!!!!!Wakuu mbona mtu unaweza uka-appeal unatoa pesa mtihani wako unasahihishwa upya.., (Ila tahadhari...) wakisahihisha upya wanakuwa na hasira kweli kweli unaweza ukawa ulipata II ukajikuta wakirudia unapata IV
Mimi nilijua tu huyo Bujugo mwongo! Baraza haliwezi kufanya kosa kubwa kiasi hicho.
Kama mkuu wa shule akili zake ni za hivi, wanafunzi wake watakuwaje? Tusi...kali, ptuuu
Je kama ulikuwa na Div. 0, utapata ngapi?????? Kwa kashfa hii, nashauri NECTA wasahihishe mitihani yote upya kwa gharama zao!!!!!!
Taarifa nilizopata hivi punde zinadai kuwa NECTA imeguswa vya kutosha na tuhuma zilizoripotiwa leo kuwa matokeo ya Kidato cha Nne yamechakachuliwa. Tuhuma hizo zimetolewa na Mkurugenzi wa Sekondari ya Green Acres Ndugu Julian Bujugo. Tangu saa sita mchana wa leo,NECTA imeyapitia tena matokeo hayo. NECTA imeapa kumburuza Kortini Bwana Bujugo ikithibitika kuwa tuhuma hizo si za kweli. VUTA-NKUVUTE wa Lumumba,Dar
Uongo wa kwanza huu hapa:
"Alimtaja mwanafunzi mwingine, Martin Rushaigwa, namba 01197/0173, ambaye alifanya masomo ya ‘Arts'.
Alisema matokeo ya mwanafunzi huyo yanaonesha kuwa ameongezewa alama za masomo ya biashara ya Bookeeping na Commerce, ambayo hakuyafanya kabisa".
Matokeo yanayoonekana mtandaoni ni:
[TABLE="class: cms_table, width: 70%"]
[TR]
[TD="width: 6%"]S1197/0173[/TD]
[TD="width: 4%"]M[/TD]
[TD="width: 6%"]34[/TD]
[TD="width: 4%"]FLD[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV-F HIST-F GEO-F KISW-D ENGL-F LIT ENG-F BIO-F B/MATH-F[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Napata sababu za kutilia mashaka tuhuma za Mwl. Bujugo.
Tanzania eeeeeee