Need a husband material

Need a husband material

Status
Not open for further replies.

Head Gelo

Senior Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
122
Reaction score
210
Natafuta husband material mwenye umri wa miaka angalau 30 hadi 35
Ma
Dini mkristo (akiwa mlokole au mlutheri itapendeza zaidi)
Sigara, pombe asiguse
Anayejishughulisha ili aweze kuhudumia familia kama maandiko yasemavo

Mimi nina miaka 27
Elimu yangu ni ya chuo kikuu na nina ajira.

Mpole mcheshi, mwenye heshima

Ukija pm nitaeleza kwa nini nimetafuta mtu hapa kwa yule atakayeonesha usiriazi tu.

#ukija pm usiseme weka no. No. Namba hatua ya mwisho
 
Natafuta husband material mwenye umri wa miaka angalau 30 hadi 35

Dini mkristo

Subiri waje.
 
Ukikosa nitafute
 
I wish ningekuwa na umri mdogo kama huo ulioutaja... nikukubali uwe wangu wa maisha
 
Iv mbona kila nikiangalia tangazo haswa la anaetafta mume dini inakua mkristo???!
 
duuh inaonesha jf watu wanapata kweli wapenzi ndio maana nyuzi kama hizi hazikatika sasa wanaowaona wanawake au wanaume wa jf ni wabaya sijui inakuwaga vipi?

mimi nilikufaa ila sema sina hela kwa hiyo naogopa dhambi ya kulaza viumbe( watoto) njaa maana wanatilishaga huruma kweli

kila la kheri dada utampata tu of your type anywhere not only jf
 
Natafuta husband material mwenye umri wa miaka angalau 30 hadi 35

Dini mkristo
Sigara, pombe asiguse
Anayejishughulisha ili aweze kuhudumia familia kama maandiko yasemavo

Mimi nina miaka 27
Elimu yangu ni ya chuo kikuu na nina ajira.

Mpole mcheshi, mwenye heshima

Ukija pm nitaeleza kwa nini nimetafuta mtu hapa kwa yule atakayeonesha usiriazi tu.

#ukija pm usiseme weka no. No. Namba hatua ya mwisho

Hello
 
Hizi ID mpya zinamambo
Screenshot_2018-11-24-19-30-30.jpg
 
Yaani nisivute sigara na nisinywe pombe kwa ajili yako tu, nani kasema hivyo.
 
Natafuta husband material mwenye umri wa miaka angalau 30 hadi 35

Dini mkristo
Sigara, pombe asiguse
Anayejishughulisha ili aweze kuhudumia familia kama maandiko yasemavo

Mimi nina miaka 27
Elimu yangu ni ya chuo kikuu na nina ajira.

Mpole mcheshi, mwenye heshima

Ukija pm nitaeleza kwa nini nimetafuta mtu hapa kwa yule atakayeonesha usiriazi tu.

#ukija pm usiseme weka no. No. Namba hatua ya mwisho
MI ninazo Sema ni muislam kwa hapo tumepishana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom