Head Gelo
Senior Member
- Oct 7, 2018
- 122
- 210
Natafuta husband material mwenye umri wa miaka angalau 30 hadi 35
Ma
Dini mkristo (akiwa mlokole au mlutheri itapendeza zaidi)
Sigara, pombe asiguse
Anayejishughulisha ili aweze kuhudumia familia kama maandiko yasemavo
Mimi nina miaka 27
Elimu yangu ni ya chuo kikuu na nina ajira.
Mpole mcheshi, mwenye heshima
Ukija pm nitaeleza kwa nini nimetafuta mtu hapa kwa yule atakayeonesha usiriazi tu.
#ukija pm usiseme weka no. No. Namba hatua ya mwisho