Neema Bakari uliyetoa ushuhuda kwa Mwamposa leo, wewe ndio aina ya wanawake ambao Mungu alikusudia kuwaumba

Neema Bakari uliyetoa ushuhuda kwa Mwamposa leo, wewe ndio aina ya wanawake ambao Mungu alikusudia kuwaumba

Bongotunacheza

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2018
Posts
983
Reaction score
2,306
Kama umetazama kwenye Tv, umesikiliza kwenye redio au umehudhuria ibada ya leo at Arise and Shine utakuwa SHUHUDA wangu katika hili.

Kuna dada anaitwa NEEMA BAKARI anatokea Tanga, alikuwa mmoja kati ya waliosimama madhabahuni kutoa SHUHUDA zao.

Dada anaongea vizuri hatari. Yani anaongea mpaka unasema "yes, huyu ndio mwanamke sasa".

Aisee, yani kwa jinsi dada huyu anavyoongea hahitaji kwenda kwa mganga kumroga Mwanaume. Sauti yake na jinsi anavyo ongea ni uchawi tosha.

Aisee huyu dada angekuwa mke wangu ningempiga marufuku kuongea na watu kwa sababu kusikia anavyoongea ni sawa na kuona nyeti zake.

Her voice would have to be exclusive to me only.

Sokoni ningekuwa naenda mwenyewe ati.

She speak so so beautiful. (And please don't confuse with the like of Wema Sepetu)

U need to hear her speaking cause hakuna maelezo yanayo weza kujitosheleza namna dada huyu anavyoongea.

It is a " VERY STRONG AND POLITE COMMAND"

Hakuna mwanaume alie kamilika anaweza ku resist jinsi dada huyu anavyo ongea.

Naamini Eva wakati ana mshawishi Adam ale Tunda alikuwa anaongea kwa Sauti ya dada huyu. Simply you cannot resist

Ndugu zangu ukisikia Mwanaume kalowea Tanga usimlaumu hata kidogo.

Tanga noma sana jamani
Wanawake wa Tanga mnajua mnajua mnajua.

I love women

" Before creation women were a race of Angels living in the Heaven. When God created Adam and saw that he was lonely he decided to send those Angels from Heaven to come to earth to help us ( men ) live in this realm. Ndio maana Mungu kabla hajampa Adam Hawa alimpa kwanza Eden ambayo ilifanana na MBINGUNI kule wanawake walipo tokea so that Eve will feel at home and never get bored"

This woman one Neema Bakari is a living proof of my theory.

Her voice should be prescribed by doctors for happiness.

Baba Mwamposa Kama unakujaga huku naomba umuajiri huyo dada redioni. She is so talented and blessed Am sure a million of people will be blessed thru her voice , just the way she talks.

This is the day that the Lord has made
Thanks Lord for what I saw today

# Kesho napanda Ratco au Tasheef naenda kuweka kambi Tanga huenda nikakutana na Mwanamke anae ongea Kama huyu.

# don't confuse simaanishi lafudhi ya kitanga. NI the way anavyo ongea. Yani kama ana deka vile Lakini hadeki Yani daaah aisee we Acha TU. Achaaaa
 
Mwamba unataka kuharibu kibarua cha yule Dada anayetafsiri pale kwa Mwamposa ili aajiriwe mtu wako.
Nope huyo sio wa kutafsiri huyo wa kukaa redioni anyways hata kama Kuna watu wa redio zingine humu ndani like Efm, wasafi, Clouds or something wamtafute wampe kipindi hata cha kuhoji watu.

Matter fact she is a Muslim and married. Ni kwamba Yesu amemtendea miujiza kupitia tia madhabahu ya Inuka uangaze so she went to give her testimony.

Halafu huu Uzi wakati nauandika nilikuwa najua nipo kwenye akaunti yangu original. Natamani niitaje akaunti yangu original hapa. Can u c the power of a woman who talks the way God created women to talk?
 
don't confuse simaanishi lafudhi ya kitanga. NI the way anavyo ongea. Yani kama ana deka vile Lakini hadeki Yani daaah aisee we Acha TU. Achaaaa
Blah blah nyiingi,sema ameongea kuhusu nini?acha ushamba,ukifika Tanga huyo utamuona takataka tu
 
Blah blah nyiingi,sema ameongea kuhusu nini?acha ushamba,ukifika Tanga huyo utamuona takataka tu
Tanga naenda Sana mjomba...I know Tanga as I know my self.

She is just a woman of her own kind
 
Unamfahamu bila Shaka, usijari atapata ajira tu suun
 
Back
Top Bottom