Neema Bakari uliyetoa ushuhuda kwa Mwamposa leo, wewe ndio aina ya wanawake ambao Mungu alikusudia kuwaumba

Neema Bakari uliyetoa ushuhuda kwa Mwamposa leo, wewe ndio aina ya wanawake ambao Mungu alikusudia kuwaumba

Wewe utakua unamatatizo na unahitaji kupewa ushauri, leo unasema umevutiwa na sauti, kesho utasema umevutiwa na kalio, kuwa makini kijana.

Wanaume wenzako wanavutiwa na mishe kubwa kubwa wewe unavutiwa na mambo ya kijinga acha mambo ya kitoto.

Pia kila mtu akipost vitu anavyo vutiwa unadhani itakuaje?

😎😎😎
 
Sio Nyege Kaka Yani Wala sijamtamani. Nimempenda. Nimekuwa excited. Mara ya mwisho kuona mwanamke anaongea hivyo it was in 1994 and she was from Tanga too. I was just so much excited.
Na mara ya mwisho kusikia?
 
Haija nishtua hata nazani wewe ndo wale wanaume wa dar Sauti tu unaandikia essay
 
Sio Nyege Kaka Yani Wala sijamtamani. Nimempenda. Nimekuwa excited. Mara ya mwisho kuona mwanamke anaongea hivyo it was in 1994 and she was from Tanga too. I was just so much excited.

Nashangaaga watu wanafikiaje kubaka? Nafikiri hizi ni hatua za awali unaonyesha
 
Weka audio clip basi ili tuamini stori yako!
 
Hata sijaelewa connection ya huyo dada na mleta mada
 
ALFA FEMALE & BETA FEMALE.

Pitia google soma tabia za haya makundi mawili ya wanawake. Wanawake wa Tanga ni "beta felames" na wengi wanaoleka na ni wazuri kwenye mahusiano. Wanawake wenfgine kweny kundi hili ni Dodoma kondoa hasa wasandawe, Wasafwa, wahehe na wabena wako kundi hili.

Alfa females ndio chanzo cha vurugu na kuvunjika kwa ndoa nyingi sana, I wish kama watu waka wanajua makundi haya mawili ya wanawake. Wanawake wa Kilimanjaro, Wamasai, sehemu flani ya wasukuma, na wanyakyusa wa kyela wako kundi hili. chunguza
 
Sio Nyege Kaka Yani Wala sijamtamani. Nimempenda. Nimekuwa excited. Mara ya mwisho kuona mwanamke anaongea hivyo it was in 1994 and she was from Tanga too. I was just so much excited.
Umeshindwa kupata picha yake kabisa au no choyo tu??
 
Back
Top Bottom