Neema Bakari uliyetoa ushuhuda kwa Mwamposa leo, wewe ndio aina ya wanawake ambao Mungu alikusudia kuwaumba

Mnataka wote tuje kuruka chumvi na mafuta ili tushughudie, mshindwe!
 
Mazuzu mmejaa kila kona bado watu mnamuamini Mwanposa km Mtumishi wa kirioho.
 
Aisee she is the one of a kind. I have to thank God for creating such a unique specie like her.

Never on this planet. Sijawahi ona
Mkuu si umesema hapo juu (post ya 7) uliwahi kumwona mwingine 1994 kutokea huko huko Tanga!!
 
Reactions: amu
sasa inakuwaje dada wa haiba hiyo anahudhuria "madhabahu" ya mshirikina mwamposa? Mwambie arudi Roman haraka
 
Mwingine alianza hivi hivi kusifia mara kwa bint Obama, Dola ikamhifadhi kidogo, katoka sasa hivi anachotuletea humu jamvini anakijua mwenyewe
 
Umekosa mada za kuleta kwa watu wenye akili?
Kwanini usianzishe group la whatsup la wajingawajinga wenzako ndio muongee huu ujinga huko?
pambaf!
 

Mkuu Vipi kuhusu maneno aliyongea yalikuingia au ni style tuu ya uongeaji na sauti basi?
 
...a.k.a mafuta ya kifo
Kafara tupu,unaweza kuwa kiongozi wa dini watu wamekufa kwenye ibada yako halafu unakimbia? Au ndo alikuwa anawahisha damu kwenye chumba chake cha makafara,upuuzi sana huu kujificha kwenye imani
 
Ukienda Tanga hutampata.Mwamposa huwapandikiza watu na kuwapa pesa watoe ushuhuda wa uongo.Jiulize ni NDUGU YAKO AU JIRANI YAKO AU MTU YEYOTE UNAYEMFAHAMU ametendewa muujiza na mchungaji.
Kama yupo twende tukamuhoji ma wanao mfahamu pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…