BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio poa kivipi?Duuu sio poa
Hapo na bado anazaa,watafika 50.Malezi mema kwao..Neema kazaa saba.Mara nyingi kwenye uke wenza,wengi mnazaa sana sababu ya wivu tu,kukomeshana n.kNina miaka 12 kwenye ndoa na Masoud Kipanya na nina watoto saba, lakini pamoja na wake wenzangu watatu jumla tuna watoto 15" amesema Neema Kipanya, mke wa mtangazaji maarufu wa redio Masoud Kipanya wakati akielezea masuala ya uzazi katika kipindi cha Sasambu cha TBC FM.
Siyo poa kwanini wakati panya kuzaa watoto wengi ni asili yao?Duuu sio poa