Neema Kipanya: Masoud Kipanya ana Watoto 15 na Wake 4

Neema Kipanya: Masoud Kipanya ana Watoto 15 na Wake 4

Kuwa na watoto wengi Wala sio urijali, uanaume wako unatakiwa uonekane kwenye malezi na matunzo ya mtoto, anapata hiyo jeuri kwa sababu pesa anayo ya kutosha
 
Sio kwa mji huu baba , kila mtu ana bajeti yake imagine lunch yangu ni combo pack msishangae jina hichi chakula kina majina tofauti kulingana na eneo ila kuna halisi ni ukoko

Kuna restaurant moja nimekuta kinaitwa njaro[emoji23]

Hapo nimekula mwenyewe na mfuko tayari upo hoi unambie wake wanne acheni masihara ,sikatai ila ukienda huko jipange sio unakuja kutoroka familia
Mji gani?
Au mnajiona jamiiforum ni ya mji wenu?
Hujui kabisa kwamba hii platform ni kwa ajili ya dunia hii?

Kwa taarifa yako ukitaka kufanikiwa ama kuwa na aina flani ya maisha inategemea na sehemu ulipo.
Mpka sasa hapo ulipo hustahili hata kupata mtoto. Oa mke au olewa kisha kila mmoja akate mrija wa mbegu..

Maana hata huyo mmoja bado mtaona anawamalizia pesa zenu..
 
Hongera bwana Masoud Kipanya Kwa kututoa Kimasomaso Wanaume.Unastahili Maua.❤️❤️💕💕👩‍❤️‍👩💐🌹🥀🌺🌺🌷🪷🌸🏵️🌼🍁🪻🌿🌲


My Take
Tuache uvivu wa kuzaa na kuogopa maisha.

kafanya sawa lakini maua hawapewi wanaume wa kiafrika
 
Hongera bwana Masoud Kipanya Kwa kututoa Kimasomaso Wanaume.Unastahili Maua.[emoji3590][emoji3590][emoji177][emoji177][emoji68]‍[emoji3590]‍[emoji68][emoji253][emoji257][emoji1651][emoji259][emoji259][emoji255]🪷[emoji254][emoji2530][emoji272][emoji260]🪻[emoji263][emoji268]


My Take
Tuache uvivu wa kuzaa na kuogopa maisha.
Kongole kwake [emoji7][emoji106][emoji2956][emoji2956][emoji2956]

Mtu anaweza kuwatunza na kuwasimamia kwanini asiongeze idadi ya raia wa Tanzania ?!!!

Taifa linahitaji nguvu kazi kubwa.......

#SiempreJMT[emoji120]
 
Back
Top Bottom