Neema Kipanya: Masoud Kipanya ana Watoto 15 na Wake 4

Neema Kipanya: Masoud Kipanya ana Watoto 15 na Wake 4

Huyu mwamba apewe maua yake[emoji253][emoji257][emoji1651][emoji255][emoji259][emoji254][emoji267][emoji268][emoji271][emoji263][emoji266][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji2956][emoji2956][emoji1787]
 
Hivi wanawake mnawajua ninyi? nasikia huyu ni mhongaji mzuri sana na ukimwambia una mimba yake analea na kuunza mtoto. Hebu kawapimeni hao watoto!!! tuthibitishe kweli wote wa kwake!!
Umeanza ujinga wako sasa [emoji1787][emoji1787]

Kwani kuna mwanaume mwenye uhakika na mtoto anayemuita baba ?!![emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]

Kwa hiyo kila akipatikana mtoto ,basi tupime DNA ?!!! [emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]
 
Kwani anataka kujaza Dunia peke yake?
Iwepo sheria ya kulipa Kodi kwa watu wanaozaa sana ili kuleta uwioano WA dependence ratio.
Hiyo sheria ikiwepo....huko mbeleni itashindwa kutekelezeka....huwezi kucheza na "nature"....Ya China pale Beijing imefutwa siku za karibuni.....[emoji1787]
 
Alafu ubaya hapa naona Me wengi ndio wanalala mika kuhusu wingi wa watoto....[emoji23]
Hivi kwanza, mtu akisema watoto wengi ni kuanzia wangapi...??[emoji849]

Wanabeba mimba wanawake lakini hapa wanaolalamika wengi wanaume wenzetu, na utakuta kwenye maada za kataa ndoa wanaunga mkono kwa nguvu zote,
 
Yuko vizuri huyu jamaa. Kuna kipindi alikuaga na hummer la njano hivi h3, lile dude kulihudumia sio poa.......katuni zinalipa sana naona
 
Care,kwamba wote hawawezi kuwa fyatu au kufa
Mkuu suala la uhai akili za watoto liko mikononi mwa sir God. Wapo waliokuwa na kundi la watoto uzeeni wanateseka usipime. Watoto wapo wote wapo lkn nobody cares.

Wapo waliokuwa na kundi la watoto lkn wanafika uzeeni wote wanakuwa wamefarki. Uzee unakuwa mchungu pia.

Wapo waliobahatika kuzaa mmoja tu na ndiye anafanya uzee wa wazazi wake kuwa mzuri

Hitimisho. Tumuombe sana mwenyezi Mungu atupe mwisho mwema. Kwa akili zetu hatuwezi
 
Back
Top Bottom