Neema Kipanya: Masoud Kipanya ana Watoto 15 na Wake 4

Neema Kipanya: Masoud Kipanya ana Watoto 15 na Wake 4

Hongera sana kaka mkubwa kamarada Masoud[emoji2956]

Mwenyezi Mungu atutunzie watoto wetu na kuwahifadhi dhidi ya kila madhila na mazito ya duniani ,aaamen aamen[emoji120]

#SiempreJMT[emoji120]
 
ukiwa na wake 4 labda uwe mchawi, ili uwe unawapiga busha wanaokuchapia. kwasababu uhalisia kibiolojia ni kwamba, mwanaume mmoja hawezi kuwatosheleza wanawake 4. hata wanawake hao wakijifanya wanatosheka, kuna uwezekano mkubwa hawajui hata kutosheka kukoje. imagine, kwa wale wanaoijua ngono, una wake 4, mwezi una wiki 4, hivyo kila wiki utakuwa unalala kwa mmoja, na mwingine atasubiri hadi wiki 3 zipite ndio akutane na wewe. anakukusanyia nyege za wiki 3 wakati wewe ndio unatoka zamu ya mzunguko umekamuliwa vilivyo na mwingine aliyekusubiri kwa wiki 3 and the cycle goes on and on. utazidiwa tu au utapiga isivyokamilifu afu ataondoka nazo, ukiwa kwenye mzunguko wa wiki tatu zijazo utasaidiwa tu hata ufanyeje. hata ujifariji vipi lazima usaidiwe, uzuri ni kwamba hautajua ila kusaidiwa utasaidiwa.
Duh! We jamaa mbona umeongea ukweli mtupu kiasi hichi? Umetisha Sana bana
 
Hongera bwana Masoud Kipanya Kwa kututoa Kimasomaso Wanaume.Unastahili Maua.❤️❤️💕💕👩‍❤️‍👩💐🌹🥀🌺🌺🌷🪷🌸🏵️🌼🍁🪻🌿🌲

---
Nina miaka 12 kwenye ndoa na Masoud Kipanya na nina watoto saba, lakini pamoja na wake wenzangu watatu jumla tuna watoto 15" amesema Neema Kipanya, mke wa mtangazaji maarufu wa redio Masoud Kipanya wakati akielezea masuala ya uzazi katika kipindi cha Sasambu cha TBC FM.

My Take
Tuache uvivu wa kuzaa na kuogopa maisha.

Daah
Mie nina watoto wawili na sitaki kuongeza wengine
 
Duh! We jamaa mbona umeongea ukweli mtupu kiasi hichi? Umetisha Sana bana
that means, hata wazae watoto 50, uhakika kwamba watoto hao wote ni wa kwako ni mdogo, kwasababu ni vigumu sana siku za mimba kugongana kwa kwenye ratiba zao za zamu. si ukute siku unaenda kwa bimkubwa, bimdogo ndio siku zake za hatari, siku unakuja kwa bimdogo, bimkubwa ndio siku za hatari. hivyo unapokuja kwenda kwake zinakua sio siku za hatari. au labda muweke kikao uwaambie siku zile ambazo ni za hatari wawe wanakustua ili uvuruge ratiba ya mzunguko uende kwa aliye hatari uweke mimba, na siku hizo zitafidiwa kwa wengine ujue. au labda, uwe na diary wote wakiingia hedhi wakupigie simu ili uhesabu wewe mwenyewe lini itakuwa siku ya hatari ukatie mimba na habo ratiba ya kulala kwao utaivuruga. ukifikiria sana hayo utapata jibu kuwa ukioa wake wengi ni kwa ajili tu ya kuzaa watoto (ambao possibility kubwa nusu yao unaweza kubambikwa),

wengi watasema mbona unaweza kuoa na bado upo na michepuko, uhalisia ni kwamba, kama umeoa mchepuko huwa haupo kwenye ratiba za haki ya kulala kwake, na ni ngumu kumaintain michepuko mitatu hata bila kunyonywa uchumi bado kuwaridhisha huwezi. labda wanawake wakweli waje hapa watoe ushuhuda, ile kitu usiione nyekundu ina sugu unaweza kupiga hadi mhogo ukachubuka ukahamia kwenye finger ukasugua wee bado tu, labda uipatie upige foreplay nzuri nk ambapo napo atahitaji bao sio moja, na wewe umetoka zamu ya wiki nzima utatoa mapovu.
 
mtu anayezaa watoto wengi ni mtu anayeamini kwamba kisomo, sio cha muhimu sana duniani bali kipaji. hivi kweli masoud kipanya ataweza kusomesha watoto english medium ya 2m kwa mwaka, kwamba mfano alipe 30m kwa mwaka ada tu, bado matumizi mengine na chakula etc, au wanasoma kayumba?
 
Sio kwa mji huu baba , kila mtu ana bajeti yake imagine lunch yangu ni combo pack msishangae jina hichi chakula kina majina tofauti kulingana na eneo ila jina halisi ni ukoko

Kuna restaurant moja nimekuta kinaitwa njaro
 
Ukiwa na watoto wengi lazima watakuwa na afya njema kadri unavyokuwa na wachache sijui 1,2,au 3 afya ni mbovu mtoto wa miaka 18 hata ndoo ya lita 2 inamshinda kubeba deko mtindo mmoja, kula kwa taabu japo chakula kipo.
 
ukiwa na wake 4 labda uwe mchawi, ili uwe unawapiga busha wanaokuchapia. kwasababu uhalisia kibiolojia ni kwamba, mwanaume mmoja hawezi kuwatosheleza wanawake 4. hata wanawake hao wakijifanya wanatosheka, kuna uwezekano mkubwa hawajui hata kutosheka kukoje. imagine, kwa wale wanaoijua ngono, una wake 4, mwezi una wiki 4, hivyo kila wiki utakuwa unalala kwa mmoja, na mwingine atasubiri hadi wiki 3 zipite ndio akutane na wewe. anakukusanyia nyege za wiki 3 wakati wewe ndio unatoka zamu ya mzunguko umekamuliwa vilivyo na mwingine aliyekusubiri kwa wiki 3 and the cycle goes on and on. utazidiwa tu au utapiga isivyokamilifu afu ataondoka nazo, ukiwa kwenye mzunguko wa wiki tatu zijazo utasaidiwa tu hata ufanyeje. hata ujifariji vipi lazima usaidiwe, uzuri ni kwamba hautajua ila kusaidiwa utasaidiwa.
Ukishakuwa na mawazo ya kuchapiwa unateseka sana. Tatzo ni kwamba asiye na mke anachapiwa zaidi maana sijui ndo Girl friend yupo huru kukitembeza. Mke wa masood mpaka akitembeze ni lazima ajifiche fiche sana ila girlfriend wa masood wanamptandika tu. Ukitaka kuwa na mwanamke asiyetumika sana, muoe. Masood kafanya sahihi kwa dini yake.
 
Ukishakuwa na mawazo ya kuchapiwa unateseka sana. Tatzo ni kwamba asiye na mke anachapiwa zaidi maana sijui ndo Girl friend yupo huru kukitembeza. Mke wa masood mpaka akitembeze ni lazima ajifiche fiche sana.
Huo ndo ukweli...
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Kwenye ukoo wao hicho ni kipanya tu kimezaa watoto 15, kuna panya wanazaa mpaka watoto 50 na pia kuna mapanya hao yanazaa mpaka watoto elfu 1.
 
mtu anayezaa watoto wengi ni mtu anayeamini kwamba kisomo, sio cha muhimu sana duniani bali kipaji. hivi kweli masoud kipanya ataweza kusomesha watoto english medium ya 2m kwa mwaka, kwamba mfano alipe 30m kwa mwaka ada tu, bado matumizi mengine na chakula etc, au wanasoma kayumba?
Dunia inaendeshwa na wenye kipaji ,kisomo ni vitu vya ziada
 
Back
Top Bottom