Neema Kipanya: Masoud Kipanya ana Watoto 15 na Wake 4

Neema Kipanya: Masoud Kipanya ana Watoto 15 na Wake 4

mbona mapadre hawaijazi dunia?
Hao wenzetu wameamua kuyaishi matendo ya Mtume Paulo, yeye alisema mkiweza muishi kama Mimi (Yeye Mtume Paulo) na iwapo wakishindwa basi waoe.

Hizo kazi za kitume hasa nyakati zile zilihitaji kujitoa sana, muda mwingi ulitumika kueneza neno la Mungu kwa wasio amini.

Ila akina siye tumeamua kuoa na kuzaa kadri Mungu atakapotupa nafasi na kibali.
 
Hoja yako ilikuwa kuna watoto huenda siyo wake na hapo nimekuthibitishia kuwa siyo lazima iwe hivyo. Hao wenye mke mmoja wanachapiwa kupita maelezo kwa hiyo hoja yako haina mashiko!
kwahiyo kama unaweza kuwa na watoto wote wa kwako, issue ya kuchapiwa sio mbaya sana, kwa unavyomaanisha.
 
ndio nasomesha watoto wangu wote english mediam, najua ninachoongea ndio maana nimeandika hivyo. wewe najua hujafikia kwenye hayo majukumu na ninachoongea hapa hukijui. usije kujichanganya. mtoto usipomsomesha vizuri umelea jambazi la baadaye au umelea mtu atakayekuwa anasubiria ufe arithi mali kwasababu hatakuwa na uwezo wa kutafuta za kwake. au akijitahidi kutafuta atatafuta kienyeji kwa kukuweka ndagu.
Hivi watoto wote waliofanikiwa kimasomo wamesomeshwa English medium? Mimi nina watoto watano na wote wamesoma shule za kawaida za serikali na wote wamemaliza vyuo vikuu!

Ujambazi ni kipaji au hulka ya mtu hata waliosoma English medium baadhi ni majambazi na wezi!
 
Oko ok ok ok,mwamba yuko vizuri,huyu itakuwa hali chipsi kabisa...
 
Kama Maisha kwako n magumu yataendelea kuwa magumu tu. Maana Kuna wale ambao Hawana mtoto hata mmoja lakin Bado hawawezi kupata hata uhakika wa huo mlo mmoja. Kipanya we zaa bwana


Hayo matatizo yatakuja tu iwapo unaishi maisha ya kuungaunga. Ila kama una maisha ya uhakika; wala hakuna tatizo lolote lileaa
 
mi
Hivi watoto wote waliofanikiwa kimasomo wamesomeshwa English medium? Mimi nina watoto watano na wote wamesoma shule za kawaida za serikali na wote wamemaliza vyuo vikuu!

Ujambazi ni kipaji au hulka ya mtu hata waliosoma English medium baadhi ni majambazi na wezi!
ssasa sikia, tusipoteze muda kubishana. wewe somesha watoto wako kayumba, watafanikiwa tu. ila mimi nimesoma kayumba nikilinganisha masomo niliyokuwa nasoma nikiwa primary na wanayosoma au uelewa wa watoto wa siku hizi wa primary wanaosoma english medium, ninacho cha kujifunza. pia, pamoja na kusoma kayumba, naamini ningesoma english medium kuna baadhi ya hustles nilizozifanya zingefanikiwa kwepesi zaidi kuliko nilivyokuwa kayumba kwasababu imenikuchua muda mrefu kucope. kiingereza nimeenda kukijulia ulaya na marekani, pamoja na kwamba university degree ya kwanza nilisomea bongolala.
 
Masoud Huyu Huyu?
Jamaa ana wake wanne?
Watoto kumi na Tano
Alafu mchizi ana Sigida dadeki
Mchizi atakuwa na mshipi!
Mchizi noma
Hanywi pombe. Havuti sigara. havuti shisha. Yeye anavuta harufu moja tu....perfume ya ile kitu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Nina miaka 12 kwenye ndoa na Masoud Kipanya na nina watoto saba, lakini pamoja na wake wenzangu watatu jumla tuna watoto 15" amesema Neema Kipanya, mke wa mtangazaji maarufu wa redio Masoud Kipanya wakati akielezea masuala ya uzazi katika kipindi cha Sasambu cha TBC FM.
Ataacha kuchukua rushwa na kuuza utu wake kwa aina hii ya uzazi
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…... hayaa banaaa unajua alipata majanga.. hadi baada ya miaka miwili kwa usalama wake ndio anaruhusiwa... goja niendelee kupiga jaramba kwanzaaa... maama wengine kutupia nje mwiko
majanga gani tena? Walivunja mwiko, maana sio kwa mapishi hayo! Kila usiku yuko busy vitani πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Kiuchumi, watoto watatu ada 6M, msosi 5M total 11M, mshahara 700k kichwa kinawaka moto, hapo hujaweka ukiwa nao 5 au 15 kama KP
Mbona shule kibao zina ada chini ya Milioni 1?
 
Back
Top Bottom